Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

ASUBUHI SA12 NATOA NGUNA MOJA KUBWA NA DAGAA (UNGA, DAGAA, NYANYA, VITUNGUU, MCHELE NANUNUA KWA WIKI MARA MOJA) NACHAPA NGUNA MOJA NA CHAI (SA2) NAENDA MISHEMISHE MDA WA MCHANA NARUDI HOM CHAP NACHAPA TENA NYINGINE, USIKU NAKUJA MALIZIA MSOSI ULIO BAKI. KWA WALI, CHAPATI, NDIZI(NAPIKA NA NYAMA NUSU) RATIBA IPO HIVYO.
KWA MWANAUME MWENYE AFYA SAFI UKITAKA USHIBE KAMA MIMI NINAVYO SHIBA KWA VYAKULA VYA MIGAHAWANI SI CHINI YA 8,000/=.
MTOA MADA LABDA KAMA UNAKULA TU CHIPS TU MIHOGO VIUBWABWA NUSU SAHANI (MWANAUME WA DAR) HAPO UTAKUA MTEJA MZURI WA VUMBI LA CONGO.
 
Ukiwa na friji na microwave wewe ni kupika vitu vya week mzima kama maharage nyama
Mkuu hapo umeongeza bomu, unajua shoo ya fridge na Microwave kwenye umeme?
Mimi labda nitaungana na wewe kwenye hoja yoyote ila sio ya gharama.
 
ASUBUHI SA12 NATOA NGUNA MOJA KUBWA NA DAGAA (UNGA, DAGAA, NYANYA, VITUNGUU, MCHELE NANUNUA KWA WIKI MARA MOJA) NACHAPA NGUNA MOJA NA CHAI (SA2) NAENDA MISHEMISHE MDA WA MCHANA NARUDI HOM CHAP NACHAPA TENA NYINGINE, USIKU NAKUJA MALIZIA MSOSI ULIO BAKI. KWA WALI, CHAPATI, NDIZI(NAPIKA NA NYAMA NUSU) RATIBA IPO HIVYO.
KWA MWANAUME MWENYE AFYA SAFI UKITAKA USHIBE KAMA MIMI NINAVYO SHIBA KWA VYAKULA VYA MIGAHAWANI SI CHINI YA 8,000/=.
MTOA MADA LABDA KAMA UNAKULA TU CHIPS TU MIHOGO VIUBWABWA NUSU SAHANI (MWANAUME WA DAR) HAPO UTAKUA MTEJA MZURI WA VUMBI LA CONGO.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vyakula vyote hivyo vinazama tumboni mwako?
 
ASUBUHI SA12 NATOA NGUNA MOJA KUBWA NA DAGAA (UNGA, DAGAA, NYANYA, VITUNGUU, MCHELE NANUNUA KWA WIKI MARA MOJA) NACHAPA NGUNA MOJA NA CHAI (SA2) NAENDA MISHEMISHE MDA WA MCHANA NARUDI HOM CHAP NACHAPA TENA NYINGINE, USIKU NAKUJA MALIZIA MSOSI ULIO BAKI. KWA WALI, CHAPATI, NDIZI(NAPIKA NA NYAMA NUSU) RATIBA IPO HIVYO.
KWA MWANAUME MWENYE AFYA SAFI UKITAKA USHIBE KAMA MIMI NINAVYO SHIBA KWA VYAKULA VYA MIGAHAWANI SI CHINI YA 8,000/=.
MTOA MADA LABDA KAMA UNAKULA TU CHIPS TU MIHOGO VIUBWABWA NUSU SAHANI (MWANAUME WA DAR) HAPO UTAKUA MTEJA MZURI WA VUMBI LA CONGO.
Elf 8 mlo mmoja au kwa Siku boss?.
 
Kuna vitu unafanya halafu siku ukakaa ukatafakari utaona ulichagua njia isiyo sahihi kabisa....

Unapokua unaishi mwenyewe, ukaamua kujipikia basi labda iwe kwa mtazamo huuu

1. Ni kitu unapenda kutoka moyoni,
2. Unapoishi hakuna mgahawa karibu
3. Uchafu wa migahawa inayokuzunguka
4. Huwezi kutunza pesa hivyo bora ununue chakula hata ukiishiwa unachakua n.k lakini sio sababu ya Saving.
5. Mgahawani hawapiki chakula kizuri.

Lakini kinyume na hapo kama unaamini una save chochote basi unajidanganya,

1. Kupoteza mda, hiki ndio kipengele kikubwa, kuanzia manunuzi/maandalizi, kupika kwenyewe, kuosha vyombo, kusafisha jikoni, kupanga na shughuli nyingne zote zinazofanyika jikoni...

2. Kero za takataka, hasa ndugu zangu wa mjini, umepika ushamaliza mambo yako tumbo limejaa, kipengele ukiangalia makololo ya mabaki ya vyakula, hapo ndio unafikiria pakuyapeleka, Nyumba nyingne hazina Waste disposal nzuri, ni timing ifike usiku ukatupe barabarani.

3. Kero ya kucheza na bajeti, mda wote wewe kuwaza, unga nusu shilling kadhaa,mafuta nusu bei ile, Sukari kilo sijui sh ngapi, kesho ukienda bei imebadirika unakua mkali..

4. Gharama, kujipikia ni gharama, usijidanganye kabisa eti kuna kitu una save, Leo hii unaweza ukaenda mgahawani ukala chakula cha Buku, niambie ni katika mazingira gani utajipikia chakula baadae ukijumlisha mboga, chakula, gas, viungo, Chumvi n.k utakua umetumia chini ya buku? Nipe hio bajeti hapa na kweli iwe applicable.

5. Hasara, katika upikaji sio mda wote unachopika unakila chote, kuna kubakia, kuharibika, kuharibu, kuunguza n.k zote hizo ni lost ambazo ukiziweka kwenye mahesabu unazidi kuongeza budget..

6. Ratiba, upo sehemu unafanya hili na lile, kichwani unawaza kwenda kugombana na masufuriaa, unalazimika kufunga hata ofisi sababu umekua mfungwa wa kujipikia

Faida za kula mgahawani..

1. Unaokoa mda, hili ndio kubwa, utatumia huu mda kufanya mambo mengine ya msingi
2. Unaokoa pesa
3. Unakua flexible na nini ule, Nyumbani mda mwingine unalazimika kula kitu ambacho kuhutaka sababu tuu ndio kimebaki hutaki kukiharibu au
4. Unakua huru na ratiba zako mda ukifika unaenda kula unaendelea na ratiba.
5. Usafi, mda mwingi ndani panakua pasafi, unapofanya usafi ni wakawaida, Kinyume na hapo unatembea njiani vidole vinanuka vitunguu..
6. Unaepuka kero za takataka na maji taka.

Katika hayo yote simaanishi ndio usijue kupika, simaanishi usiwe na chombo hata kimoja,

Jifunze kupika, mana hujui na mazingira gani utalazimima kupika..

Nunua vyombo vyote, siku kwa kujiachia ukaona leo na mimi nijipikie, hio pia iko poa

ILA SIO KUA MTUMWA WA MAPISHI..
Pia kwa kiasi kikubwa hapa nazungumzia wale tuliopanga,

Kwa watu wenye Familia au zaidi ya mmoja Hilo la kupika yaweza kua options nzuri, Pia katika hili Sijalenga wanawake.

Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa kwa hoja itapendeza.

Najua ni maisha yako, Sijakupangia namna ya kusihi, ni mtazamo tuu.
Maelezo mareeeeeeefuu hoja kijiko cha chai,kumbe ni mtazamo tu!!
 
Chakula cha mtaani, hakina uhakika wa usalama na ubora wake, pili vyombo usalama wake duni tatu gharama. Huwezi niambia kuwa ule wali wa mchele bora kabisa na nyama iliyoungwa kwa mafuta bora kama alizeti, ina nyanya, kitunguu, hoho na karoti kwa buku. Obvious unakula chakula cha hovyo. Ukiwa mla mtaani, Kuugua tumbo mara kwa mara ni kawaida.

Kwa ufupi, chakula bora na salama ni kile ulichoandaa mwenyewe.

Mfano, mtoa mada hapa napata uji wenye pilipili manga, limao na asali ya nyuki wadogo-mtaani ungeupata huu kwa bei gani?
 
Kitu cha kwanza ni AFYA au USAFI. Kwa mama ntile ni 0 kabisa. Nimewahi kumuona mama ntilie mmoja anaosha vyombo vichafu kwa KISU na kisha kuvifuta kwa TISHU.
Nika hoja muhudumu wake akasema maji yanauzwa BEI faida yenyewe iko wapi Kaka.
Nikasema sawa Dada.
Nitapika na nitapikiwa tu.
 
Mkuu unaamini ya kua migahawa mingi classic bei ya chakula haiamui wingi bali ubora labda na mboga nyingi kiasi?
Na binadamu haitaki kula sana especially watu wenye siku hizi ni kuchapa marimba ya mzungu na kutembelea tako.

Wabeba zege, kusukuma mkokoteni hao wanahitaji chakula kingi maana kazi nzito
 
Back
Top Bottom