MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 793
- 2,379
Msosi wa buku upo, tena DSm hapo.Msosi wa buku?mkuu hapo Labda kande,anyway cooking is fun,unatoa dongo unavyotaka sio mama ntilie unapangiwa kula ugali laini au wali usio na Nazi.Tatizo langu nikipika lazima niungue,haijalishi Nina gloves au lah,ila at some point kabla sijala ntaunguza vidole,na pia kazi ya kuosha sufuria ya ugali,naweza loweka hata wiki.
Mara nyingi ni ugali na kisamaki, vimaharagwe, na vigreens.
Sema usafi ni nearly to zero.
Ila wakurungwa wanakula na kupiga maji wanaenda kulala.