Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

mi pia nmeshangaa [emoji4][emoji23] mana mm hio 10 naipasua sikumoja tu .. mana nikipika staki kupika kwa kubana ni masotojo ya kueleweka.

Jamaa aache utani huyo 10 ni standard kabsa kigeto geto tena unakuwa umeishi vizuri tu.

NB:
Hapo kama bebe ipo karibu ni muhimu kuwa inakuja kukupa backup ili ujue vingi kwenye kui-balance kwa masotojo mbalimbali..
 
We na wewe umeandika tuu ili uonekane.
Rubish kabisaa.
Bichwa kama papai.
Nionekane na nani?kumbe huwa ukiandika unaonekana?kupikia,kujipikia ni mapenzi ya mtu,kula kwa mama ntilie msosi wa buku wali nazi ni mapenzi ya mtu au uamuzi wa mtu.

Huna hoja unataka tu uonekane
 
Chakula cha mtaani, hakina uhakika wa usalama na ubora wake, pili vyombo usalama wake duni tatu gharama. Huwezi niambia kuwa ule wali wa mchele bora kabisa na nyama iliyoungwa kwa mafuta bora kama alizeti, ina nyanya, kitunguu, hoho na karoti kwa buku. Obvious unakula chakula cha hovyo. Ukiwa mla mtaani, Kuugua tumbo mara kwa mara ni kawaida.

Kwa ufupi, chakula bora na salama ni kile ulichoandaa mwenyewe.

Mfano, mtoa mada hapa napata uji wenye pilipili manga, limao na asali ya nyuki wadogo-mtaani ungeupata huu kwa bei gani?
Hawezi kuielewa,yeye anaamini msosi wa buku ni bonge la msosi! Kaeleza wali wa kushiba mchuzi na mazaga Kama yote,asamehewe he is stupid.
 
Mtoa post anakuambia unakula chakula Cha buku!!unaahina unasepa huoshi suguria Wala kijiko!
Nimeshapita huko Tena nikiwa nchi za watu na pesa ya kula Macdonald ipo lakini lazima uzame super market kufanya banka ya groceries friji ijae na vya kupika vyote viwepo.

Maisha hayo ndio nimejifunza kupika mpaka leo nikiamuwa kupika Nyumbani harufu ya Nyumbani inabadirika inanukia kama Jiko la hotelini, wife mwenyewe anajuwa nikiingia jikoni ni misosi ya jilambe.
 
Nipo Mwanza hapa mkuu
ngoja nikupe bajeti ya sh 10,000 kwa mahitaji yangu
unga sado 1 sh 4,300
mkaa 1,000 (n.b huwa unanitosha maana jiko langu latumia mkaa kidogo sana ukipelea ntaongeza wa 500)
vitunguu sh 500
chumvi sh 200
nyanya na vikolokolo vngne sh 1,000
dagaa sh 1,000
mafuta ya kula nusu chupa sh 800
JUMLA SH 8,800
hiyo sh 1,200 imebaki kwa dharura na kubadili mboga
Hapo mimi nimemaliza chai sio muhimu kwangu nakunywa hata uji ikibidi

Aisee!!
 
Kupika kwangu mimi kupika nakula more health kuliko kununua..afya yako ni bora zaidi .hoteli nyingi za bei nafuu chakula unakula chakula kichafu, Hakina ubora ( upikaji wa bora liende) etc.
Honest kupika nakula more health kwanza spices zote kwa afya ya kula nazo ( tangawizi,karafuu, etc)

Pia natengeneza mboga za majani na vyakula vyote napika kwa kiwango nachohitaji ziwe.
Na upikaji wa upande wa mwanaume ni few minutes kitu kipo mezani...

Nyumbani kwako kama una Friji , microwave, jiko la gesi na blender. Basi unakuwa ktk nafasi nzuri ya kula utakavyo..vyakula vingi unapika na kuweka kwenye Friji kama (nyama, maharage etc ) ndio nchi zilizoendelea utaratibu wao huo...

Vijana endeleeni kula chips na vyakula vya take away tatizo la nguvu za kiume halitawaacha..
Mia mia nakupa,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu unafanya halafu siku ukakaa ukatafakari utaona ulichagua njia isiyo sahihi kabisa....

Unapokua unaishi mwenyewe, ukaamua kujipikia basi labda iwe kwa mtazamo huuu

1. Ni kitu unapenda kutoka moyoni,
2. Unapoishi hakuna mgahawa karibu
3. Uchafu wa migahawa inayokuzunguka
4. Huwezi kutunza pesa hivyo bora ununue chakula hata ukiishiwa unachakua n.k lakini sio sababu ya Saving.
5. Mgahawani hawapiki chakula kizuri.

Lakini kinyume na hapo kama unaamini una save chochote basi unajidanganya,

1. Kupoteza mda, hiki ndio kipengele kikubwa, kuanzia manunuzi/maandalizi, kupika kwenyewe, kuosha vyombo, kusafisha jikoni, kupanga na shughuli nyingne zote zinazofanyika jikoni...

2. Kero za takataka, hasa ndugu zangu wa mjini, umepika ushamaliza mambo yako tumbo limejaa, kipengele ukiangalia makololo ya mabaki ya vyakula, hapo ndio unafikiria pakuyapeleka, Nyumba nyingne hazina Waste disposal nzuri, ni timing ifike usiku ukatupe barabarani.

3. Kero ya kucheza na bajeti, mda wote wewe kuwaza, unga nusu shilling kadhaa,mafuta nusu bei ile, Sukari kilo sijui sh ngapi, kesho ukienda bei imebadirika unakua mkali..

4. Gharama, kujipikia ni gharama, usijidanganye kabisa eti kuna kitu una save, Leo hii unaweza ukaenda mgahawani ukala chakula cha Buku, niambie ni katika mazingira gani utajipikia chakula baadae ukijumlisha mboga, chakula, gas, viungo, Chumvi n.k utakua umetumia chini ya buku? Nipe hio bajeti hapa na kweli iwe applicable.

5. Hasara, katika upikaji sio mda wote unachopika unakila chote, kuna kubakia, kuharibika, kuharibu, kuunguza n.k zote hizo ni lost ambazo ukiziweka kwenye mahesabu unazidi kuongeza budget..

6. Ratiba, upo sehemu unafanya hili na lile, kichwani unawaza kwenda kugombana na masufuriaa, unalazimika kufunga hata ofisi sababu umekua mfungwa wa kujipikia

Faida za kula mgahawani..

1. Unaokoa mda, hili ndio kubwa, utatumia huu mda kufanya mambo mengine ya msingi
2. Unaokoa pesa
3. Unakua flexible na nini ule, Nyumbani mda mwingine unalazimika kula kitu ambacho kuhutaka sababu tuu ndio kimebaki hutaki kukiharibu au
4. Unakua huru na ratiba zako mda ukifika unaenda kula unaendelea na ratiba.
5. Usafi, mda mwingi ndani panakua pasafi, unapofanya usafi ni wakawaida, Kinyume na hapo unatembea njiani vidole vinanuka vitunguu..
6. Unaepuka kero za takataka na maji taka.

Katika hayo yote simaanishi ndio usijue kupika, simaanishi usiwe na chombo hata kimoja,

Jifunze kupika, mana hujui na mazingira gani utalazimima kupika..

Nunua vyombo vyote, siku kwa kujiachia ukaona leo na mimi nijipikie, hio pia iko poa

ILA SIO KUA MTUMWA WA MAPISHI..
Pia kwa kiasi kikubwa hapa nazungumzia wale tuliopanga,

Kwa watu wenye Familia au zaidi ya mmoja Hilo la kupika yaweza kua options nzuri, Pia katika hili Sijalenga wanawake.

Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa kwa hoja itapendeza.

Najua ni maisha yako, Sijakupangia namna ya kusihi, ni mtazamo tuu.
 
Nionekane na nani?kumbe huwa ukiandika unaonekana?kupikia,kujipikia ni mapenzi ya mtu,kula kwa mama ntilie msosi wa buku wali nazi ni mapenzi ya mtu au uamuzi wa mtu.

Huna hoja unataka tu uonekane
Sasa kumbe unaweza kuandika kuhusiana na mada uliandika upupu gani mda ule,
Rubish kabisa, unawaza ushirikina tuu kitoto kidogo.
 
Saa saba mchana tunagonga lunch ili tupate nguvu ya kupelekeana moto

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa sawa mtu wangu.

Mzabzab= Mzabizabina
Hujawahi kufeli kwenye kupenda mizagamuo
 
Sasa mwanaume unajua kupika kuliko mwanamke si upuuzi huo... Binafsi Ni Breakfast yangu, Mchemsho na BBQ only [emoji41], Hivyo vengine atapika mchumba akija kumuona Babe wake
 
Jamaa aache utani huyo 10 ni standard kabsa kigeto geto tena unakuwa umeishi vizuri tu.

NB:
Hapo kama bebe ipo karibu ni muhimu kuwa inakuja kukupa backup ili ujue vingi kwenye kui-balance kwa masotojo mbalimbali..
Eh tena ukibahatika kwa anaejua masotojo utaenjoy
 
Sasa mwanaume unajua kupika kuliko mwanamke si upuuzi huo... Binafsi Ni Breakfast yangu, Mchemsho na BBQ only [emoji41], Hivyo vengine atapika mchumba akija kumuona Babe wake
Wewe ndio mpuuzi wa kwanza, mwanamke anapaswa kuelewa wazi kwako Usafi na kupika siyo issue wewe unahitaji life partner wala umuhitaji yeye kama laundry machine au chef.

Mke wangu ananijuwa vizuri akizunguwa nitammis yeye tu na kindness kama anayo na siyo mambo mengine.

Binadamu hupaswi kuwa tegemezi kwa binadamu mwenzako, nyinyi ndio wale I can't live without you! How😇😇
 
Kuna vitu unafanya halafu siku ukakaa ukatafakari utaona ulichagua njia isiyo sahihi kabisa....

Unapokua unaishi mwenyewe, ukaamua kujipikia basi labda iwe kwa mtazamo huuu

1. Ni kitu unapenda kutoka moyoni,
2. Unapoishi hakuna mgahawa karibu
3. Uchafu wa migahawa inayokuzunguka
4. Huwezi kutunza pesa hivyo bora ununue chakula hata ukiishiwa unachakua n.k lakini sio sababu ya Saving.
5. Mgahawani hawapiki chakula kizuri.

Lakini kinyume na hapo kama unaamini una save chochote basi unajidanganya,

1. Kupoteza mda, hiki ndio kipengele kikubwa, kuanzia manunuzi/maandalizi, kupika kwenyewe, kuosha vyombo, kusafisha jikoni, kupanga na shughuli nyingne zote zinazofanyika jikoni...

2. Kero za takataka, hasa ndugu zangu wa mjini, umepika ushamaliza mambo yako tumbo limejaa, kipengele ukiangalia makololo ya mabaki ya vyakula, hapo ndio unafikiria pakuyapeleka, Nyumba nyingne hazina Waste disposal nzuri, ni timing ifike usiku ukatupe barabarani.

3. Kero ya kucheza na bajeti, mda wote wewe kuwaza, unga nusu shilling kadhaa,mafuta nusu bei ile, Sukari kilo sijui sh ngapi, kesho ukienda bei imebadirika unakua mkali..

4. Gharama, kujipikia ni gharama, usijidanganye kabisa eti kuna kitu una save, Leo hii unaweza ukaenda mgahawani ukala chakula cha Buku, niambie ni katika mazingira gani utajipikia chakula baadae ukijumlisha mboga, chakula, gas, viungo, Chumvi n.k utakua umetumia chini ya buku? Nipe hio bajeti hapa na kweli iwe applicable.

5. Hasara, katika upikaji sio mda wote unachopika unakila chote, kuna kubakia, kuharibika, kuharibu, kuunguza n.k zote hizo ni lost ambazo ukiziweka kwenye mahesabu unazidi kuongeza budget..

6. Ratiba, upo sehemu unafanya hili na lile, kichwani unawaza kwenda kugombana na masufuriaa, unalazimika kufunga hata ofisi sababu umekua mfungwa wa kujipikia

Faida za kula mgahawani..

1. Unaokoa mda, hili ndio kubwa, utatumia huu mda kufanya mambo mengine ya msingi
2. Unaokoa pesa
3. Unakua flexible na nini ule, Nyumbani mda mwingine unalazimika kula kitu ambacho kuhutaka sababu tuu ndio kimebaki hutaki kukiharibu au
4. Unakua huru na ratiba zako mda ukifika unaenda kula unaendelea na ratiba.
5. Usafi, mda mwingi ndani panakua pasafi, unapofanya usafi ni wakawaida, Kinyume na hapo unatembea njiani vidole vinanuka vitunguu..
6. Unaepuka kero za takataka na maji taka.

Katika hayo yote simaanishi ndio usijue kupika, simaanishi usiwe na chombo hata kimoja,

Jifunze kupika, mana hujui na mazingira gani utalazimima kupika..

Nunua vyombo vyote, siku kwa kujiachia ukaona leo na mimi nijipikie, hio pia iko poa

ILA SIO KUA MTUMWA WA MAPISHI..
Pia kwa kiasi kikubwa hapa nazungumzia wale tuliopanga,

Kwa watu wenye Familia au zaidi ya mmoja Hilo la kupika yaweza kua options nzuri, Pia katika hili Sijalenga wanawake.

Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa kwa hoja itapendeza.

Najua ni maisha yako, Sijakupangia namna ya kusihi, ni mtazamo tuu.
sisi wa diploma inakuwaje
 
Wewe ndio mpuuzi wa kwanza, mwanamke anapaswa kuelewa wazi kwako Usafi na kupika siyo issue wewe unahitaji life partner wala umuhitaji yeye kama laundry machine au chef.

Mke wangu ananijuwa vizuri akizunguwa nitammis yeye tu na kindness kama anayo na siyo mambo mengine.

Binadamu hupaswi kuwa tegemezi kwa binadamu mwenzako, nyinyi ndio wale I can't live without you! How😇😇
Umeniwai kuongea ilo unakuta mke anaumwa ata kupika uji ampeleke hawezi anaenda mnunulia chips mzazi alie jifungua nishawai mfukuza mgonjwa wa aina hii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa sawa mtu wangu.

Mzabzab= Mzabizabina
Hujawahi kufeli kwenye kupenda mizagamuo
Wee nae ebu tuma namba nikutumie hela ya bolt na pia ukanunue kyupi mpya kwa ajii ya mizagamuano
 
Back
Top Bottom