Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,821
- 12,276
Mnalishwa hamira kwa wingi hamjui tu! Mgahawani mnauziwa chakula kilichobaki jana!uko sahihi, kujipikia bachela ni bajeti kubwa na uharibifu wa chakula maana kikibaki utalazimika kukitupa kwa kuwa kitakuwa kimechacha. Mgahawani unapewa madikodiko mengi kwa gharama ndogo na huokoa muda wa kupika upate muda wa kupumzika unaporudi nyumbani baada ya kazi