Baby I do

Baby I do

wewe dawa tamu mbona unanifanyia hivi jamani?huyo chiku kweli ana mimba ya bwana'ngu au ndo matani yenu eeh eti shem?

Natania tu bana, Uporoto ana mkoko wa BMW hata ushuru haujalipiwa pale bandarini halaf jamaa ni muaminifu sana hata akiona kuku wanasex anafumba macho. Una bahati sana kabakabana
 
Wonder Woman,Nitonye na Erickb52 acheni chabo changieni mada washikaji mwee! Excellent karibu.
 
Natania tu bana, Uporoto ana mkoko wa BMW hata ushuru haujalipiwa pale bandarini halaf jamaa ni muaminifu sana hata akiona kuku wanasex anafumba macho. Una bahati sana kabakabana

aiseeeee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom