Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #181
Kuzuri tu. Za unapokwenda?
mimi hapa ndo nimefika WW nikuulize wewe
Kuzuri tu. Za unapokwenda?
Acha hasira basi samahani.Usinichanganye bana.mi nilisha changia na nikaulizwa swali.
mimi hapa ndo nimefika WW nikuulize wewe
Acha hasira basi samahani.
kumbe sharobaby lol!Bila Samahani . I'm not angry, is just the way I talk.
Bado niko safarini destination unknown .
My reason for living got to go my boss mkali huyo tena mwanamke kila kitu anaona unamdharau kesho basi sleep tight dream of only me and i will do the same,so long bebs,
Acha wivu kwani nyie A town hamjacheza ? si zile mkiwa mmevaa nguo luv ?
hahahaha...lol...umesahau wengine humu ndani wachaga???Dah!asante kwa msg tamu nadhan ni cjakosea kupest kwenye wall ya rejao wangu lol!kaby niandalie ya ukweli ya kumbom mtu hela hahaha!
Wewe ndio sababu yangu ya kuishi,inabidi nilale bosi mkali tena mwanamke lala salama niote nami nitafanya hivyo kwaheri ya kuonana.
Hahahaha hahaha,hahahaha...lol...umesahau wengine humu ndani wachaga???
Hela hazitoki bila invoice...halafu lazima uonyeshe statement ya matumizi!
hahahaha...lol...umesahau wengine humu ndani wachaga???
Hela hazitoki bila invoice...halafu lazima uonyeshe statement ya matumizi!
Hahahaha hahaha,
Darling,mjini hapa ukizingatia namie wa huko huko kilichobaki nikuzidiana ujanja tu,nilitaka nimbom mtu nikasaidie ndugu yangu smile kulipa deni la ashadii kule bado hajalipa lol!
Aisee.....! Bahati iliyoje!
Hahahha hahah,yani tumeongea maneno sawa bila kujua
Darling Uporoto na kabakabana kuna nini kinaendelea!!
Mbona unataka kuniua kwa BP darling!!