Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
baeleze baelewe sio anaona ona vinapendeze vimeundwa ati
Uporoto wa ukweli,kwao anaitwa fisadi la mtaa,mipound na midolari imejaa mpnz,mbona ataukwamua ukoo hahaha!
baeleze baelewe sio anaona ona vinapendeze vimeundwa ati
Honey kauli yako amri ukitaka nitahamia hata mtaani kwenu kwako sina kauli.Khaa kumbe uporoto ni wa dar sasa itakuwaje?
Hehehe!shem fisad la mtaaa lol!uhakika wa kupat vimikopo japo vya kufungua viosk lol utaikwamua familia!
Wewe malizana nae tu bana hizo ni ishu za ex wewe ni present.umesemaa?jamani uporoto wangu huyu huyu siamini hebu sema unatania basi
Hapa nani kafall kwa nani?
Halaf Uporoto yule chiku wa manzese kanitext anasema kale kaujauzito kashakatumbua ukalipie gharama. Tnx kamanda
Uporoto wa ukweli,kwao anaitwa fisadi la mtaa,mipound na midolari imejaa mpnz,mbona ataukwamua ukoo hahaha!
Huyu mtani wangu dear mpotezee.umesemaa?jamani uporoto wangu huyu huyu siamini hebu sema unatania basi
Gud moning canta, acha nivue na hili bukta ili niitikie salam yako vizuriKhaaaaaaa!nakusalim loya!
Wewe malizana nae tu bana hizo ni ishu za ex wewe ni present.
Canta niaje? rejao hayupo tuibie ibie nini?
Honey kauli yako amri ukitaka nitahamia hata mtaani kwenu kwako sina kauli.
Huyu mtani wangu dear mpotezee.
ajiunge tu na wale mafisadi papa aninunulie hata vix100
Gud moning canta, acha nivue na hili bukta ili niitikie salam yako vizuri
Wewe malizana nae tu bana hizo ni ishu za ex wewe ni present.
Canta niaje? rejao hayupo tuibie ibie nini?
Huyu ni best friend wangu hapa Jei Efu lakini kwa matani we acha tu,naapia milima ya Uporoto iporomoke mi bado bikra lol!mmmh,hebu apia!mbona kama roho inadunda haraka haraka
Gud moning canta, acha nivue na hili bukta ili niitikie salam yako vizuri
Mie bajaji inatosha ndugu yangu,alafu huku nyuma naiandika Canta Trans hahaha!
Mie mzima kbs loya,tatizo kila ninachoandika anaedit yeye ndio napost,huoni tutakua tunajitengenezea fumanizi lol!
Huyu ni best friend wangu hapa Jei Efu lakini kwa matani we acha tu,naapia milima ya Uporoto iporomoke mi bado bikra lol!
mmmh,hebu apia!mbona kama roho inadunda haraka haraka