Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #121
Hahahahahaaa nasikia unajiandaa kuja na new Id....Nitonye000....hahaaaa
We remba SweetLady si wako tena
halafu weewe unampenda huyo mwenye hayo mazero eeh
Hahahahahaaa nasikia unajiandaa kuja na new Id....Nitonye000....hahaaaa
We remba SweetLady si wako tena
Si ndio hapo,naona ana apply usharo mwenzie uporoto kishaeleweka,mwambien aache ubahili amwage minoti,hahaha!
unipe details za huyo kibompa,mweupe,mfupi na mambo mengine ili niweze kumchombeza vizuri
halafu weewe unampenda huyo mwenye hayo mazero eeh
Arusha/Moshi hahaha!
Si ndio hapo,naona ana apply usharo mwenzie uporoto kishaeleweka,mwambien aache ubahili amwage minoti,hahaha!
Asante shem.
Aisee cjui tuhamie pm!c unaona hapa macho kodo mengi!but itabidi tuwe na propozo km ya kuuombea hisan ya watu wa marekan lol!
Teh teh hata kidogo...nazimiss pumba zake
Naishi Dar natokea Mbeya kwenye milima ya uporoto(unakumbuka giografia ?).mimi mtoto wa 'A' town baby,hebu kwanza usiniambie wewe ni wa dar
Usijali mtaani wananiita fisadi lol!Ok,shem but umejiandaa andaaje maana km ujuavo kuopoa kanda ya kaskazin c mchezo na mtoto kamaliza vidato huyo!
Hahahaaaaa acheni majungu nyie...mbona we yamekushinda hata honeymoon hujamaliza????
Teh
deni lenyewe kalipa na magunia ya mahindi hizo noti atoe wapi?
How sweet!!
haina mbaya,utaniPM basi diaa,lazima kitaeleweka tu
Ok,shem but umejiandaa andaaje maana km ujuavo kuopoa kanda ya kaskazin c mchezo na mtoto kamaliza vidato huyo!
Naishi Dar natokea Mbeya kwenye milima ya uporoto(unakumbuka giografia ?).
Usijali mtaani wananiita fisadi lol!
Hapa nani kafall kwa nani?
Halaf Uporoto yule chiku wa manzese kanitext anasema kale kaujauzito kashakatumbua ukalipie gharama. Tnx kamanda