Baby I do

Baby I do

Bby nilikuambia watu hawapendi kuona wenzao wanapendana...lol
hawana hata haya.....hasa huyu Kaby.....hhahaaaa
Kwako nimefika mama....

Mi mbona sina wasiwasi dear.. Hilo box lake la leso atakaa nazo mpaka atachoka cha zaidi atajifutia jasho tu mpaka ziishe..
 
Umeona eeeh unanisaidia ila ukienda kwa Amy unachomekea vimajungu kidogo....
hahahahaaaa nakuharibia kwa Mr.

hujanitumia ile kitu ndo maana, hehehe yule hapa kafika hasikii haoni kwa taarifa yako
 
Mi mbona sina wasiwasi dear.. Hilo box lake la leso atakaa nazo mpaka atachoka cha zaidi atajifutia jasho tu mpaka ziishe..

niko nchi zenye vipindi viwili kwa mwaka hakuna joto wala jasho huku., hata bwana'ko hajawahi kufika.Ongea vizuri nikutumie ticket.
 
Mi mbona sina wasiwasi dear.. Hilo box lake la leso atakaa nazo mpaka atachoka cha zaidi atajifutia jasho tu mpaka ziishe..
Hahahaa
Kwanza yeye ndo hajui nani wake coz mara Excellent mara Uporoto.....hahahahaaa badae utashangaa yuko na Klorokwini
Lol hajui Mwanamke kutulia?
 
Hahahaa
Kwanza yeye ndo hajui nani wake coz mara Excellent mara Uporoto.....hahahahaaa badae utashangaa yuko na Klorokwini
Lol hajui Mwanamke kutulia?

mwanamke mauzo eeeh na uuzike kweli.
 
saafi my shugabanana umeshindaje?usione leo umetoka mapema nilimcol bosi tena nimemwambia akupe leave ya wiki 2 twende mapumziko spain
Lol ngoja namimi nimwombee ruhusa Amy wangu tuambatane huko muendako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom