Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #261
Very sweet words, kweli huyo amebarikiwa!
thanx, ni yule yule ulienipatanisha nae.
Very sweet words, kweli huyo amebarikiwa!
Bora umegundua ni ya $2000si ile ya $.2000 ulomnunulia? Unapenda vya bei rahisi eeh?ndo matokeo yake haya
Kwanza hadi ufike huku Ltd side mirror zote kwishanilikuja limousine langu haliwezi kufika huko mabondeni kwenu,service kwa wiki ni mshahara wako wa mwaka.
Bora umegundua ni ya $2000
Kwanza hadi ufike huku Ltd side mirror zote kwisha
Naona unajitafutia matatizo....lol!khaa huu uchakuaji,itabidi ccm wakuajiri kuchakachua matokeo huko arumeru
khaa zitakuwa zile kupima, tumieni hela iwazoee jamani lol
Kweli Amy wangu...hata Kaby akijua niko juu ataanza kunisumbua ili akupindue...mwambie SIDANGANYIKINingeji spray mwenyewe ningevimba mpaka mwili. Am so sensitive, ricky knows! Ni mtu aliipaka.. Btw kaby ujue ricky ni gentleman sana.. Nsiongee sana usije kumsumbua uporoto na ye aige bure!
Naona unajitafutia matatizo....lol!
Ningeji spray mwenyewe ningevimba mpaka mwili. Am so sensitive, ricky knows! Ni mtu aliipaka.. Btw kaby ujue ricky ni gentleman sana.. Nsiongee sana usije kumsumbua uporoto na ye aige bure!
Kweli Amy wangu...hata Kaby akijua niko juu ataanza kunisumbua ili akupindue...mwambie SIDANGANYIKI
hehe bahati nzuri bwana'ngu sio muigaji kila siku ana mambo mapya,,.
Km ana jeuri aige hii pafum muone sheshe lake...teh mtapiga chafya hadi mshangae
chaaaa,ricky bwana!labda unanifanisha halafu unadanganyika!hapo amy anakudanganya wewe secondhand tu.
Teh hivi hujajua kuwa second hand ni imara zaidi kuliko vipya?
Mbona Uporoto ni Second hand???
lol
ameniletea pafyum dola 1200 kutoka france, najua una huzuni hapo unawaza angekupa ungekula na familia yako kwa miezi sita
thanx, ni yule yule ulienipatanisha nae.
Teh sawa bwana...nami ntamnunulia
haya bana mpe hongera zake!
haya bana mpe hongera zake!