Baby I do

Baby I do

Jamani Bby wangu....pole sana....hiyo ni dalili ya kunimiss usijali utapona eeh

Thanx hun.. Halafu umejuaje nlivyokumiss.. Kaby mgomvi unamuona eh? Mi leo nipo kimya hata staki maneno.
 
Thanx hun.. Halafu umejuaje nlivyokumiss.. Kaby mgomvi unamuona eh? Mi leo nipo kimya hata staki maneno.
Teh halafu alinambia anakuja huku leo...hope alipolipa deni la Ashadii akaishiwa nauli
 
aisee pole sana, mr.ricky kakulisha nini? Hajui hata mkewe ana allergy na kitu gani pole sana dia wangu utapona eeh

Thanx kaby.. My ricky anajua nna allergy ya nini.. Leo nimekumbana na perfume ya ajabu na kali.. It got me sneezing mpaka kizunguzungu..
 
Thanx kaby.. My ricky anajua nna allergy ya nini.. Leo nimekumbana na perfume ya ajabu na kali.. It got me sneezing mpaka kizunguzungu..
Dah hiyo perfume haikuwa na tbs
 
Teh halafu alinambia anakuja huku leo...hope alipolipa deni la Ashadii akaishiwa nauli

nilikuja limousine langu haliwezi kufika huko mabondeni kwenu,service kwa wiki ni mshahara wako wa mwaka.
 
Najua una experience ya mwanzo mzuri na sasa mambo yako yameenda sendemaa...ngoja tutakusaidia...
Mi na bby wangu raha mwanzo mwisho....

na kweli mwisho wangu uliopita nilitakiwa nilipwe dola 560 nikalipwa 200 tu
 
Now as i sit up on my bed
An image of you is in my head
You give me a reason to live
Without you the happiness i will never achieve
The way you kiss,your touch is soft and devine
I want you to forever be mine
Infront of everyone here my love i declare
To hurt you i will never dare
Because I love you
ooy yes Baby I do.

Very sweet words, kweli huyo amebarikiwa!
 
Thanx kaby.. My ricky anajua nna allergy ya nini.. Leo nimekumbana na perfume ya ajabu na kali.. It got me sneezing mpaka kizunguzungu..

khaa zitakuwa zile kupima, tumieni hela iwazoee jamani lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom