KK is there anything that you wont do?
It is sweet when you said "BABY I DO" !!!!!!!!!!!
So keep on with the do.
niko nae hapa,anakwambia tangu siku ile nyumbani hujafika.Uje kesho jioni tupate wote kahawa,
Huyo sis king'anganizi ajabu
haya bibie ila kahawa uweke na tangawizi lol.
khaaaa! Kweli mapenzi yashaexpire.
Kabakabana kila la heri na x husb wangu.
ahsante wifi usijali kizuri kula na nduguyo au?halafu ndo nini leo kutopokea simu yangu au bado ulikuwa hujakubaliana na ukweli?
ntaweka vyote mpaka pilipili manga si unatumia au?
unanipandisha mihasira, naomba usinipigie wala usinitext hadi moyo wangu upone.
natumia mamito mm mtanga orijino.
Nice poem!
thank u dear, naiuza unataka?
Ntaipeleka wapi dear? Nacopy tu hapa hapa na kupaste.....lol!! Btw, inaendelea au hapo ndo mwisho wake?
weee ijikute tu inaishia hapo ina muendelezo nitauweka hapa kesho. Usikopi bila ruhusa ya mtunzi utashangaa sehemu unapokopia panayeyuka lol
Hahahahaa.....basi nitaikariri tu lol!! Nasubiria kwa hamu huo mwendelezo, napenda saaana poems mie! Unajua mchana nilikuwa najikumbushia kusoma poem ya 'I love you my gentle one' .......sasa nilipofungua na huu uzi nikakuta such a nice poem, mwenyewe nikafurahiiii....lol!
Amekusikia, atakufikia pia.
hehehe labda kiziwi lol
Kwa nini?