Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,124
Mi sina amani na furaha? Really?Ndiyo maana huna amani na furaha ya maisha kisa woga usiokuwepo
Yaan uchawi unafanya kazi afrika tu ukienda ulaya au mtu mweupe unadunda
Mi sina amani na furaha? Really?Ndiyo maana huna amani na furaha ya maisha kisa woga usiokuwepo
Yaan uchawi unafanya kazi afrika tu ukienda ulaya au mtu mweupe unadunda
Hapo ndio wanapapotumia maccm kuwa control raia wa taifa hili.Chief, hiyo namba 8 ndio adui yetu mkubwa. Hayo yote uliyoyaona ni matokeo ya hilo "dubwasha" ulilolitaja katika namba 8.
wadau mna manenoNimeanza kumkumbuka Victoire
Naona darasa la 7 wengii wanajitokeza kugombea mfano shishi 😀😀😀😀Kuna post moja humu imeandikwa "wabunge wa CCM 2020-2025 watakuwa na PHD, sasa kama watia nia ndo hawa duh!
Kasoro king Kiba tu maana Hua hapendi show offMastar wote awamu hii wamefulia Sana tu
Yale ya Kafara inaanza kunigonga akiliniUnaona jamaa wala hata hajatulia kusubiri arobaini ya mkewe. Ubunge ndo priority yake. No wonder mkewe alimuomba Makonda amlelee wanae.
Mbona Makonda ni marafiki sana na hii jamii Wasafi? Tena hakutajwa huyo Sallam kwenye wadau sembe wa Makonda???!!!Ndiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.
Kwani Babu Tale anagombea ubunge Morogoro mjini au vijijini?Jamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanya
We unadhani makonda anaweza kuwataja maswahiba wakeMbona Makonda ni marafiki sana na hii jamii Wasafi? Tena hakutajwa huyo Sallam kwenye wadau sembe wa Makonda???!!!
Haswaaaa.We unadhani makonda anaweza kuwataja maswahiba wake
Halafu kwani watu before ubunge walikuwa wanaishije?
Maana majority ni raia wa kawaida kwani hatuishi, pesa zipo na zinataftwa tu lakini when ur loved one is gone atleast Kuna kipindi, flani hivi.
Vijijini sio Mjini. Aboud yuko MjiniAcha nicheke khaahaaaaaaaa haaaaaa uyo anajisumbua awezi kabisa kumtoa abood bus hapo Youngtong ndani ya nyumba labda aenda akagombanie samvura chore
Kama PhD kwa maana ya "poor hair distribution" au "player hating degree" sawa tu. Mbona Harmonize anayo mpaka kaambiwa akachukua jimbo na mwenyekitiKuna post moja humu imeandikwa "wabunge wa CCM 2020-2025 watakuwa na PHD, sasa kama watia nia ndo hawa duh!