Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Ila kwa vichwa wa watu Morogoro vijijini Tale angepitishwa angeshinda bila hata hizo mambo ya giza
Mondi akipiga show tu moja ya bure, anaweza hata kuwa raisi wa mkoa, wacha kabisa akili za hawa watu.:D

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
Haya mliokua mnamtetea hajamuua mkewe endeleen kumtetea, mtu ukishakua mshirikina roho ya ubinadam inakutoka kabisa , hili lijamaa lishetan kabisa na halijifichi
 
Kama mtu hana uchungu na mke wake aliyekufa hata wiki hana anakimbilia ubunge, sembuse wananchi? Hao wapiga kura wajiongeze hawana kiongozi Hapo .
 
Jamani sasa ndo kashapita hukoo kwny kura za maoni. Sijui tuamini lisemwalo???
 
Mbona Dr.Faustine naye wanasema alifiwa na baba yake na bado ameendelea na mchakato,Na yeye angejitoa ili kuomboleza msiba.
 
Back
Top Bottom