Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Ndiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.
Mbona Makonda ni marafiki sana na hii jamii Wasafi? Tena hakutajwa huyo Sallam kwenye wadau sembe wa Makonda???!!!
 
Jamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanya
Kwani Babu Tale anagombea ubunge Morogoro mjini au vijijini?
 
Halafu kwani watu before ubunge walikuwa wanaishije?
Maana majority ni raia wa kawaida kwani hatuishi, pesa zipo na zinataftwa tu lakini when ur loved one is gone atleast Kuna kipindi, flani hivi.


Mambooo
 
maisha ni lazima yaendelee, nadhani hata marehemu angependa watu waendelee na maisha yao. Ukifa waliobaki bado wana maisha ya kuishi siyo mwisho wa kila kitu
 
Kuna post moja humu imeandikwa "wabunge wa CCM 2020-2025 watakuwa na PHD, sasa kama watia nia ndo hawa duh!
Kama PhD kwa maana ya "poor hair distribution" au "player hating degree" sawa tu. Mbona Harmonize anayo mpaka kaambiwa akachukua jimbo na mwenyekiti
 
Back
Top Bottom