Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Kuna watu hawaamini kuna siku ya kiama. Hawa jamaa wanatia huruma sana lkn waliopelekea mateso yao wajue siku hiyo kila goti litapigwa na machozi yao yatakuwa ya damu.

2015 mwisho wa mateso:tape:
 
Mnataka watu waliothibitishwa kunajisi na kulawiti waachiwe huru? I am so much against it. First of all imagine hao waathirika wangekuwa watoto wako au ndugu zako. Would you feel the same? Hao mabwana walitumia fedha yao kuwalaghai watoto wadogo. Serikali imewaweka wanakostahili ninyi mnawaonea huruma. Why? Je, hivi mnajua kama wale watoto wameathirika kwa kiasi gani? Hii iwe fundisho hadi hapo walawiti na wabakaji wote watakapotungiwa sheria ya kuwanyonga hadi kufa. Kama kulawiti kuzuri na walawitiane huko waliko. Kwa nini wanataka kutoka? That is where they belong.

Upo right kabisa mkuu Kinauche, ni kweli ingekuwa ni wanangu ingekuwa vigumu sana kusema wahurumiwe ila ni ile huruma ya kibinadamu tu inapokuja unaona huruma. Lkn kimsingi walichokifanya kama ambavyo mahakama imewaona ni kichafu na hata wanyama wana nidhamu ya mapenzi, hawafirani.
 
Naomba kujua zaidi ya Babu seya je kuna watu wengine wanabaka walio hukumiwa kifungo cha maisha? Huwa nasukia mtu akipigwa mvua 30.
 
Baba na mtoto kushiriki pamoja?haingii akilini.

Tatizo la bongo hatuna good investigative journalism,tunaenda kwa hisia tu.

Nchi hii kwa sasa ni ya visasi tu,hakuna dialogue na kuvumiliana
Angalia ya Mwangosi,Dr Ulimboka ,Kibanda,na hata ofisa wa TISS aliyetoswa kisimani.Bila kusahau mabomu yaliyotupwa kwenye mkutano wa CHADEMA huko Soweto.Kuna watu wameamua!
 
Upo right kabisa mkuu Kinauche, ni kweli ingekuwa ni wanangu ingekuwa vigumu sana kusema wahurumiwe ila ni ile huruma ya kibinadamu tu inapokuja unaona huruma. Lkn kimsingi walichokifanya kama ambavyo mahakama imewaona ni kichafu na hata wanyama wana nidhamu ya mapenzi, hawafirani.

Asante sana kwa kuelewa hili. Inauma sana kuona watoto wadogo wakiharibiwa na hawa mafataki eti kwa kuwa wana fedha. Mbona hawawalawiti watoto wa wakubwa isipokuwa wa maskini wasiokuwa na watetezi? Let them rot there.
 
Leave JK out of this shit. ni msomi, mwenye hadhi tofauti na mtajwa. hana muda mchafu. Nampenda sana P. I pray to God P & daddy will b free soon
 
There is something behind the scene. Let me shut up my buccal cavity.
 
Fundisho kwa wenye tabia kama hizo hapa duniani.

Ni kwa hawa wanyonge wasio na mtetezi ndani ya Mfumo wa utawala wa CCM lakini kwa PAPAA KAPUYA aliye katika mfumo wa utawala wa CCM yeye hawezi kuhukumiwa.
 
Anybody who knows where these kids are? I hope they are 18+ by now, can they be re-interogated?
 
Naomba kujua zaidi ya Babu seya je kuna watu wengine wanabaka walio hukumiwa kifungo cha maisha? Huwa nasukia mtu akipigwa mvua 30.

Ndugu kwanza ondoa neno kubaka katika kesi hii ya akina Babu Seya wao wameshitakiwa kwa kuwanajisi yaani KUGUSISHA UUME KWENYE UKE wa wale watoto pasipo kuingiza lakini cha ajabu kifungo cha maisha na wale wanaobaka na kuuingiza kabisa uume wanahukumiwa kifungo kisichozidi miaka 30. na cha ajabu katika eneo lile inasemekana wale watoto wamehamishwa eneo hilo tangu kutolewa kwa ile hukumu na haijulikana wamepelekwa wapi, nahisi inawezekana wengine wamepelekwa kusoma nje ya nchi.
 
Mtu yeyote aliyewahi kuzaa,akisimama kama mzazi wa watoto waliofanyiwa unyama,atasema wafungwe maisha
ili iwe fundisho kwa wengine ambao bado wapo uraiani na wana mawazo kama hayo.
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kwamba kinachosimama katika kesi hii ni chuki dhidi ya wanamziki hawa
najiuliza,hivi na hao wanafunzi walikuwa na chuki na watu wazima hawa? Labda tuseme walitegeshewa mtego,lakini tujiulize
je! kuna anayemtega panya kwa kutumia chakula asichokula panya? kama walitegwa kwa chakula wanachokula na wao wakala,
hapa kazi ya mahakama ni kuangalia umekula? kama jibu ni ndiyo au kwa wewe kukiri ama kwa ushahidi wa mazingira
sheria zinaangaliwa na unaadhibiwa bila kuzingatia kuwa ulitegeshewa.
Binafsi nikiri kuwa sijui undani wa jambo hili,ila nami natoa maoni
kama wengine,ya kwamba kama wanaonewa basi tuwaombee ili Mungu siku moja awafanyie mlango
wa kutoka,lakini kama walifanya kweli basi maombi hayo hayo yafanyike ukuta wasikae watoke jera.
 
Mwokozi keshawaona tayari na kuwaongezea machungu, wewe unataka awaone mara ngapi? Machungu waliyowaachia wale watoto maishani mwao na wao wanafaidi ya kwao gerezani, hakuna cha congoles wala nini, hapa "MLA na yeye HULIWA"

Wa tz tabia yenu ni kubishana bila mpango me time hiyo sina.
Tafuta wabishi wenzio!
 
yani watu wana ongea kwa hisia wakati documents za hukumu na appeal ziko humu jukwaa la siasa na ziliwekwa hili watu wasome lakini cha kushangaza watu hawasomi wana baki kuongea kwa kutumia hisia.

Uzuri kwenye hizo documents kila kitu kiko wazi kuna facts na evidence za kutosha.
 
## #hivi kulikuwa na ugomvi gani baina ya wawili hawa b/s vs j/k?naomba kujuzwa


Jibu ni hili. Kama unataka kujuwa ukweli kuwa JK ni nani kwa mademu hapa mjini, jaribu kumtongoza Vicky Kamata kisha njoo kutusumulia hapa JF nini kilikusibu baada ya JK kujuwa hilo, ama Vicky Kamata alikuambia nini wakati unamtongoza? Very simple.
 
Back
Top Bottom