Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,070
- 63,250
Kwanini usiseme AMANI KWAKO?
Angesema peace be with you usingeona tabu au vipi?
Kwanini usiseme AMANI KWAKO?
Ni kutawaliwa kifikra tu mkuu, wala tusiwalaumu wanaotumia hiyo salaam coz waafrika tumetawaliwa kuanzia akili hadi makalio.
Mtu anaona uzito kusema "habari ya asubuhi", ambacho ni kiswahili kizuri ila kwake kutumia kiarabu kusalimia ni fahari sana.
Ni sawa na mwingine kusema "good morning", zote ni matokeo ya kutawaliwa kuanzia ubongo hadi makalio.
Hapa umeanza uongo wako kama ilivyo ada yako.Tumeachana njiaUislamu hauwez kuuzid kitu Ukristo
Uislamu umeanzishwa na ukatolik ili kusambaza Dogma zake
Unabisha au? Leta ukweli wakoHapa umeanza uongo wako kama ilivyo ada yako.Tumeachana njia
Hivi huwa kwa siku unawaza kuhusu ukatoliki mara ngapi?Unabisha au? Leta ukweli wakoView attachment 928413
Tumuulize papaHivi huwa kwa siku unawaza kuhusu ukatoliki mara ngapi?
Huwa unafurahisha sana.Ngoja nikuletee michachai utafune ukiwa unasubiri kitimoto ushushie na coca cola baridi!Teh!Tumuulize papaView attachment 928558
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
Dhu! Mkuu unamka sasa 12 asubuhi unaenda kijiweni mpaka saa 4 kuangalia 360??, nilijua unaangalia kwako, kama ndo hivi hali ni mbaya sana,
Nipe tafsiri ya kijiweKwaiyo saa 12 asubuhi uko kijiweni unaangalia 360 nawana???
Mim binafsi nimkristo ila nachukizwa sana nahuu umama ulioletwa nakijana wakiume humu
Umeshasema viongozi, Kabaye ni mufti?Unajiyahidi kuonesha chuki zako za wazi dhidi ya uislamu,mbona viongozi wenu popote pale huanza kwa kunukuu vifungu vya biblia na haiwi tatizo?kwanini chuki za kijinga na kipuuzi zimeshamiri kwako?
Kama wapo wanaohubiri waambieni waacha, kwamujibu wa kanuni, 360 si kipindi cha dini na lalamiko hili lingeenda TCRA ingepewa adhabu. Uzuri ni kwamba leo amejirekebisha maana anafahamu alikuwa anafanya makosa na tumebainiChuki zingine bwana,Kwani huwezi kubadili channel au tv yako inachannel moja? Au unataka tuanze kukutajia watangazaji wanaohubiri kwenye vipindi vyao?
Vitu vingine vinafikirika sio kupiga Pang’aa tu Buda,Wakristo wengi wa tanzania mnauchukia sana uislam
Nonsense [emoji1522][emoji335].
Hujui kituAcheni ushetan huo angekuw anaongea umbea wa mastaa mngekuw makin kweli nawe kaombe uwe unatangaza pale na upangiwe naye muanze mijadala acha hizo dogooo...
Hujui kitu