Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Mara zote ukisikia nenp udini ujue ni uislamu na wala sio dini nyengine.

Ila ninlichogundua wakristo wanachuki sana
Sio chuki muda mwingine hamjielewi mnalazimisha mambo
 
' Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza haufahamu imani yake lakini salamu unamsalimia ya dini yako, ama unafahamu fika imani yake lakini wewe kwa kukariri ama ukorofi tu unaanza kumsalimia kwa salamu unayoitumia kwenye dini yako!! je ! yeye akikusalimia ama akakakujibu kwa dini yake utafurahiama utajibu. Tujifunze ustaarabu wa kuishi na imani nyingine bila kuwakera. Tanzania ndio nchi yenye baraka ambayo wengi tumezaliwa tukajikuta tunaishi pamoja imani tofauti kwa kushirikiana. Nadhani kuna watu wamezaliwa sehemu ambayo imani ya dini yake imekuwa ni sehemu ya mila na desturi zao kutokana na hilo salamu za kidini zimekuwa ni salamu rasmi kwa kila sehemu, lakini unapotoka nje ya eneo hilo ama unapopata mgeni usiyejua imani yake, usimkwaze kwa salamu yako jitahidi umsalimie kwa salamu ya kiswahili baada yakujua imani yake waweza kuendelea na salamu za kiimani. Kama ni siku ya ijumaa kafanya hivyo huyo mtangazaji ni sahihi na sii mbaya kwa sababu tunajua siku ya ijumaa kuna vipindi maalumu vya dini hiyo na ni siku yao na wala haina shida yoyote kama ilivyo jumapili kwa upande mwingine. Lakini kama anafanya hivyo kila siku basi atafutwe na watu wake wa karibu aelimishwe.

wewe unajua yesu alikuwa anasalimia vipi . unajua maana ya shalom. salamu alikuwa akitumia yesu . maana yake amani iwe juu yenu, unajua maana ya salam alleikum, maana yake , amani iwe juu yenu. wewe salamu yako umeitowa wapi ya bwana asifiwe
 
Yesu hajawahi kuongea kiarabu. Hivi leo mkatoliki ama mlutheri akitumia Lugha ya kilatini ambayo ndio lugha rasmi ya kanisa kukusalimia kwa maneno "pax vobiscum" utajibu? Wasalimieni hao hao ila mimi ukilisalimia hivyo na mimi nakujibu " TUMSIFU YESU KRISTU" ukibadilisha kama unaakili umeelewa nitakujibu kwa kuniamkia kwa salamu ambayo haina maudhui ya kidini ama hujanisalimia kwa Lugha ambayo ni lugha rasmi ya dini fulani
 
kwa hio wewe unapenda habari zipi za u konki au...mwenzio pale anahitahidi asijeulizwa aliifanyia nini imani yake kama aliambiwa awakemee ma konkiwa warudi kwa muumba
 
Acha kuchukia dini za watu, kwani akizungumza we anakupunguzia nn maishani mwako..
Anafiti kwa namn zote ndo maana kawekwa pale, kama channel inakuboa basi badili na uweke upendako ila so kutuletea matusi hapo..
Aala...!!!
 
Waislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua
 
Point ya kipumbavu sana hii kwa hiyo kangi lugola anapobeba ilani ya ccm wote ni ccm?
 
Write your reply...wengi wa members humu jf ni wafanyakazi wa maofisini so sisi wa vijiweni hatuaminiwi kabisa
##jiajirini ila sie tunafanya kazi kwa watu##
 
Waislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua
Inaonekana Asalam Aleikum inakusumbua sana! Amani iwe juu yako Mkuu.
 
Waislamu hua wanauelewa mdogo sana yani wao huhisi kila saa ni dini dini tu mfano mtu anaweza toka alipotoka na kukusalimia "Asalam Alekum" utafikiri anajua kwamba wewe ni muislamu mwenzake wakati wakristo hua hawa habari za Bwana Yesu Asifiwe, Au Tumsifu Yesu Kristo kwa mtu asiemjua
Si wastaarabu, wamekariri mambo, wana dini ya kujionyesha
 
Kila MTU anayoimani yake, yenye misingi na taratibu zake, Imani nyingi hazichangamani kwa kiasi kikubwa.

Yapo mengi yanayokinzana lkn tunavumiliana na kuheshimu imani za wengine.

Sister Kabaye, anayohaki ya kuiongelea imani yake anayoiamini hata kama inatofautiana na imani yako, huna budi kumvumilia.

Mungu ndiye Mwenyezi lkn anavumilia kaweka Moto na Neema , kila mmoja kampa demokrasia baada ya kutoa miongozo.

Iweje sisi tuwe wakati kuliko Mwenyezi.
 
Dini dini dini dini watz waliowengi ni wajinga sana tujengwa na kulelewa katika misingi ya kuvumiliana Ila kuna wapumbaf wachache tu wanataka kuharibu na kupunguza uhalisia wetu Wa maisha tulioyazoea ya kujichangamana
 
Back
Top Bottom