OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Aaaaaanh hapo my dada ugaonekana sooo cheap ukiwa na.shida unapiga kabisa mie nikiwa ina mood ya kuchat we huna vocha!!!!!unajua wanatuona mizigo sana tukiwa nao, ila wana-play verry cool wakati wanakufata. I hate it. Unataka tuchat, ila vocha nijitegemee o nichukue kwa mama, inahusuu
Yeah swts except with its effect on network searching during mountain climbing before reaching climax!!!!!!
Before this finding Gold used to be my favourable for ladies gift!!!
miss u more
bad girl wako yu wapi
We ongea kwa nguvu utamuona sooon!!!!
Hiv Lakin hebu niwaulize dot.com
Siku hiz mapenzi mnayanogesha na nini?
Abeee!
Aaaaaanh hapo my dada ugaonekana sooo cheap ukiwa na.shida unapiga kabisa mie nikiwa ina mood ya kuchat we huna vocha!!!!!
Sasa utapewaje nyongeza gengeni bila kununua japo fungu moja!!!!!
Hebu jiongeze we tuma text ila akikutoa ndio mwambie hny ukiona duka plz nahitaji kununua vocha basi atatoa lock kwa simu yake na kukuambia hamisha kutoka humu!!!!!
Hakuna mwanaume anataka demu egemezi mpaka vochaa????!!!!!
Simple sana, mwambie poaMwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Ya nini kula kuku wakati size yako ni utumbo wa mbuzi.
Mwaaaaa
hahahaha chuo ujanja mwingi usikute mtu kashajishibia zake
umejuaje?Simple sana, mwambie poa
Na unakuta kakuweka loudspeaker kila mtu chumbani anakusikia huku anakula chips mayai zake
Buy me a diamond necklace darling you know am on a diet... love you mwaaaaaa.
mweeee hadi ninejiskia kulia KonnieMiss u guys sana. Siku hizi hapa pamekuwa kama 'mahame', nakuwa alone tu.
Wakubwa wanapita mara chache chache, mradi shida tu. Howa yuu lakini?