Hongera sana mkuu Mungu awalinde mama na mtoto kiafya, pia mkawe wazazi wema kwa kijana wenu mama kapata twin wake. Mimi pia makadirio yalikuwa tar 13 ila nikapata shida ya presha ikabidi nijifungue mapema tar 5/4 nimepata kabinti ila tunaendelea vizuri kabisa. Hongera sana mkuu.Namshukuru Mungu kanitunuku kidume kidume kweli mamake alijifungua salama na kawaida na wanaendelea vizuri.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu. Mungu awalinde na kuwakuzia binti yenu30.03.2023
Baby Girl
Hongera sana kwa kupata kabinti special mkuuMe na madume matatu kwa ndoa bana last year nikachepuka hatimaye lastweek nimepata kakike kwa mchepuko(ingawa am nor sure mpk tukipime dna kama tulivyokubaliana)
Kwa roho mtakatifuMi nategemea kuzaa kwanzia October/November/December
Sina mimba sina Bwana ila Insha allah
Wewe tulikula mzigo siku moja hata Mimi nategemea kupata jembe mwezi WA sabaMchepuko ndo unanipatia first born mwezi wa saba mungu akipenda
Hongera sana mkuuNamshukuru Mungu kanitunuku kidume kidume kweli mamake alijifungua salama na kawaida na wanaendelea vizuri.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kama ni mwezi wa 8 mbona anatakiwa azaliwe mwezi wa 5 babu?Duh wewe usije kuwa mke wangu aisee,maana tuliitafuta mimba mwezi wa 8 mwaka jana.😄😄
niwaulize wote mnaotarajia kupata watoto
Je mimba yako ilikuwa planned before?
aminaaaKwa roho mtakatifu
Baby boy30.03.2023
Baby Girl
Mkuu mi hiyo namba 2 jinsi ya kuhesabu nisije nikapigwa nisaidie anasema mimba iliingia siku ya 9 baada ya P afu hyo folic acid ni vidonge au?Ndio anapata mimba kwasababu mimba hupatikana 10 la kati au 10 la mwisho mkuu uliza uelimishwe
Hedhi ya mwananmke ipo katika makundi 3.
1.Siku 25- 28 wengi zaidi
2. Siku 30 wachache
3. Siku 35 wachache zaidi
Hivyo kwa mazingira haya pia upevushwajo wa mayai hauwi sawa mkuu.