Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,802
Reaction score
60,648
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.
 
Mi nategemea kupata first born wangu mwezi April mungu asaidie ila sitosahau kile kipindi kuanzia mimba ina week hadi miezi 3 ilikua balaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema sio kwa kila mtu kwangu mimi ilikua tofauti ( i have a kid, She is 7month now[emoji3062]) yan sijawahi tapika, wala kuwa na dalili kama za watu wengine aiseeee[emoji18][emoji18]
 
Mi bby mama wangu mtarajiwa aliumwa alikua hawezi kula wala kufanya chochote sikua na mpango wa kuanza kuishi naye ila ilinibidi sa hivi anarndelea vizuri ila sex ndo hataki kabisa
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri

Ukiwa nae karibu wewe itakua ni bora zaid maana wanawake tunaamimi kwamba ukiwa na mimba basi unapoteza mvuto(which is true mana kuna wengine ranginza mwili zinabadilika, miguu kuvimba chunisi mara kilo kuwa nyingi[emoji23]) hivoo inafanya mwanaume wako asikupende tena kama zamani ko jaribu kuwa nae karibu na kumwambia maneno ambayo hayata mfanya ajione kabadilika[emoji18]
 
Mi bby mama wangu mtarajiwa aliumwa alikua hawezi kula wala kufanya chochote sikua na mpango wa kuanza kuishi naye ila ilinibidi sa hivi anarndelea vizuri ila sex ndo hataki kabisa

Kwenye sex hapo kipengele[emoji23][emoji119] wengine tukiwa na mimba nyege ndo zinakuwa nyingi[emoji38][emoji38] jamani mimi nilikua nanyanduana hadi wiki ya mwisho ya kujifungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji276]
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji
Tumezaliwa mwezi mmoja mwanangu ila mimi tarehe 14,, mimi mwenzio wa tatu mwishoni hapo nategemea zawadi. Namshuhuru Mungu namsubiri kwa hamu maana kaja na neema zake.
 
Back
Top Bottom