Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Mpenzi wangu mimi ni mwezi wa tano mwaka huu Mungu atupe Mungu tuvuke salama maana mmmh changamoto sana mara kiuno, mara hawezi kukaa, kulala shida yaani kuna muda tunakesha anasema kiuno kinauma

Mimba ni changamotoo sana mwambie ajitahidi kufanya vimazoez kupunguza maumivu hata kutembea tuu aisee kuna ile time kiuno na miguu vinauma hadi unatamani umpe mtu tumbo akusaidie[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weeeeeee
ulikuwa unafanya kuilowekamo kabisa

yan nampa hata akitaka usiku kucha hadi wiki ya mwisho mwisho nakaribia kujifungua[emoji38][emoji1787][emoji23] nimezaa kapisiii kangu ka kwenda na amefanana nae vibaya mno kasoro rangi tuu[emoji119][emoji119]

najua atasoma(mana yupo humu JF[emoji23] aloooh baba kimtu nakuelewa kinoma[emoji3062])
 
Ukitoa hivyo vikolombwezo vingine hilodishi pekeake shngap [emoji23][emoji23]
Ndio elfu 20 eti dishi peke yake ukitoa vikorombwezo vyooote.
Ni vile tuu madishi ya mwanangu wa kwanza yapo mikoa 2 tofauti na niliopo ila angetumia na anayekuja.

Kuhusu poti sijui babyshawl, receiving blanket atatumia za dada yake. Hakuna kununua vipya.
 
Nataka kujua kwenda kucheki tarehe au makadirio ya kujifungua mimba inatakiwa kuwa na miezi mingapi wakuu

unapohisi tu mwenza wako/ wewe ni mjamzito unaenda kuanza clinic[emoji4][emoji4] na ni vyema pia kufanya ultra-sound kujua maendeleo ya mimba yenu/yako hii itakupa uhakika zaid kuwa mimba ipo salama au kuna tatizo na maelekezo mengine utapewa uendapo huko[emoji112][emoji112]
 
Back
Top Bottom