Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

December natarajia kupata first born wangu [emoji3526] changamoto kila siku nahesabu siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu mama K hataki dyudyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuhesabu sijui naanzia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuhesabu nn mkuu?
 
December natarajia kupata first born wangu [emoji3526] changamoto kila siku nahesabu siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu mama K hataki dyudyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuhesabu sijui naanzia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine zinawajia hivo na anakua anapata maumivu sana ukichakata. Ila mimba nyingine fresh tu unachakata mpaka siku ya kuzaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuwa mpole tu
 
Mi bby mama wangu mtarajiwa aliumwa alikua hawezi kula wala kufanya chochote sikua na mpango wa kuanza kuishi naye ila ilinibidi sa hivi anarndelea vizuri ila sex ndo hataki kabisa
Ongera mkuu kwa ilo jambo zuri ila pole kwa changamoto ya kutopewa penzi ila jikaze usije ukachepuka[emoji38]

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye sex hapo kipengele[emoji23][emoji119] wengine tukiwa na mimba nyege ndo zinakuwa nyingi[emoji38][emoji38] jamani mimi nilikua nanyanduana hadi wiki ya mwisho ya kujifungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji276]
Duh wewe noma sana yan mm mke wangu hataki kabisa kutiwa akiwa na mimba, ningepata mke kama wew dah ningeshukur sana mana ninavyopenda mizagamuo sio powa kabsa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wengine zinawajia hivo na anakua anapata maumivu sana ukichakata. Ila mimba nyingine fresh tu unachakata mpaka siku ya kuzaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuwa mpole tu
Hataki kabisa mkuu ata ukiforce anakuwa mkavu hila anapenda Kula Kula huyo balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye Eti anasema mimba ya mapacha tumbo linakuwa Kwa kasi naishia kucheka
 
Aiseeh hapo mama k anadekaje!?
Kuna siku nlifata mishikaki saa sita ucku nikampelekea kwao, natoka home mama ananichora tu 😁😁😁,
Nlikuwa nachukia kutumwa tumwa😂,
Nkikosa pesa nakopa 🤣,
Alhamdullilah
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.
Ndege John hiyo mimba mashaka. Andaa tu hela ya DNA na kwa ushauri wangu usilee mpaka uwe na uhakika maana hizo siki 7 kabla ya hedhi ni kipindi cha uhakika cha kujamiiana bila wasiwasi wa mimba...Any way karibu kwenye dunia yetu ya wababa maana kitanda hakizai haramu
 
Back
Top Bottom