Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

12 April 2023. Princess was born.

Unlike her elder siblings, She was planned a whole year before.

As such, the first night we attempted, she was conceived.

I remember that night vividly and as clear as daylight.

I also remember the conversation and events leading to it.
Hongera kwako cause your have been planned for someone's future before she comes to this beautiful earth.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watoto wasiotarajiwa kuzaliwa ndio chanzo cha matatizo katika hii dunia?
 
Hongera kwako cause your have been planned for someone's future before she comes to this beautiful earth.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watoto wasiotarajiwa kuzaliwa ndio chanzo cha matatizo katika hii dunia?

Mkuu mimi naamini tatizo sio ambao hawakupangiliwa kuzaliwa.

Chanzo cha matatizo huwa ni ambao hawakupanga. Na tatizo sio kutokupanga kwenyewe. Tatizo ni kukabiliana na malezi na majukumu na changamoto za maisha
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.
Nasikitika kwamba huna elimu ya uzazi na unafurahia kumpa mtu mimba ukiamini ni ujauzito bora iko hivi hata wale wanaopiga nyeto na kutumia madawa ya kulevya wanatungisha mimba vizuri tatizo linakuja ukamilifu wa mtoto.

Mwili unahitaji lishe nziri ili uweze kujenga mbegu bora japo hata mbegu hafifu zinatungisha mimba ila utofauti upo kwenye ukuaji wa mtoto na akili yake.

Ukija kustuka una mtoto haendani na akili zakounalalamika umechapiwa.

Unashauriwa kabla ya kumtungisha mtu mimba jitahidi miezi 6 kabla kuacha pombe kabisa vilevi vya aina zote viachwe upate mlo kamili na afya iwe imara.

Kama ulikua hujatekeleza hayo jiandae kupata zezeta lako hata kama halitoi madenda
 
Msisahau dishi la kuogea mtoto Ni laki moja kwa Sasa!mjipange msijewaogeshea watoto kwenye ndoo za kleensoft😁
Wengine hatutaki tabu.,tunaenda kwa Mangi machinga Complex dish buku 10,000, na buku 30 napata kila kitu hadi net na kagodoro kisha vina jazwa vema katka besen vinafungwa vema MAMBO SI HAYO!
 
Back
Top Bottom