Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Wakuu, namshukuru Mungu tumepata mtoto wa kike.

Kipengele kipo kwenye tumbo la mtoto. Mtoto anaumwa sana tumbo na halali kabisa usiku. Navyosema halali ni hafungi jicho kabisa, analia tu usiku kucha. Halafu anaharisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida hamna dawa eti

Mwenye anaefahamu dawa anisaidie.. mtoto ana one week tu.
Wakuu wa kazi hii inakuwaje?
 
Back
Top Bottom