njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,771
Hebu niacheni kidogo jana ndio nimeombwa lazima tukaanze clinic wote mana ndio anataka aanze hilo sio tatizo kabisaa mimi kwenda ila nikienda tatizo ni ....😂😂😂nadhani mshajua sasa kupokea majibu nahisi kuharisha hata nikutwe fresh nakuwa hoi bin taaban