Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Msisahau dishi la kuogea mtoto Ni laki moja kwa Sasa!mjipange msijewaogeshea watoto kwenye ndoo za kleensoft[emoji16]
Mmezoeq yale ya kupigwa unawekewa na mafuta ya minara ya 1500 ya naz.kwa nin ununue lile lenye makorokoro ambayo mengine wala hayaitajiki.nunua vitu separate mafuta ya naz mule kwenye furush wanaweka minara.sasa minara yale kwa mtoto yatambabua hayafai.dishi lile mpaka lak 3 na makorokoro mengi low quality. Nunua besen zuri cello 7000.mafuta hata parachute 5000 au mama africa 7000,nenda babyshop chkua vinguo.kwanza mtoto mchanga wala haitaji makorokoro mengii kama yale.
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.

Dah! Una uhakika gani ni mtoto wako?
 
Mmezoeq yale ya kupigwa unawekewa na mafuta ya minara ya 1500 ya naz.kwa nin ununue lile lenye makorokoro ambayo mengine wala hayaitajiki.nunua vitu separate mafuta ya naz mule kwenye furush wanaweka minara.sasa minara yale kwa mtoto yatambabua hayafai.dishi lile mpaka lak 3 na makorokoro mengi low quality. Nunua besen zuri cello 7000.mafuta hata parachute 5000 au mama africa 7000,nenda babyshop chkua vinguo.kwanza mtoto mchanga wala haitaji makorokoro mengii kama yale.
Hayo mafuta ya Parachute yanasaidia nini ?
 
Mpenzi wangu mimi ni mwezi wa tano mwaka huu Mungu atupe Mungu tuvuke salama maana mmmh changamoto sana mara kiuno, mara hawezi kukaa, kulala shida yaani kuna muda tunakesha anasema kiuno kinauma
Yan najihisi mm kabisa... Usiku silali shida tupu.. Yan tunaongea kwa simu mpaka bundle liishee... Famasiala nn
Team May
 
Mi nategemea kupata first born wangu mwezi April mungu asaidie ila sitosahau kile kipindi kuanzia mimba ina week hadi miezi 3 ilikua balaa
Hope Mungu kakujalia umeshampata first born wako. Mimi nimevuka salama Mungu mwema team April
 
Back
Top Bottom