☺️☺️Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.
Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;
1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.
2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.
3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.
Kama kuna la kuongozea niongezee.
Hili dishi la laki 1 lina ac ndani? Hebu weka pichake tulioneMsisahau dishi la kuogea mtoto Ni laki moja kwa Sasa!mjipange msijewaogeshea watoto kwenye ndoo za kleensoft😁
Kupatwa kwa Iblis bin Shetani.kweli mapenzi Yana nguvuMimi mpk akijifungua nitashkuru mungu maana inabdi nimvumilie jana kaniamsha saa 8 usiku nikamuangushie embe kwenye mti anataka embe muda huu ikabidi niamke niende kuangua huku natoa maneno yananitoka mpk kama nataka kulia nilikuwa sijawahi mfulia nguo aisee sasa akiniona tu analeta nguo tena zote nilikuwa sijui kupika vitumbua sambusa imebidi nijue maana akisema anataka sambusa tu leo umpikie tena hataki za kununua anataka nipike mm daa yaan nimechoka mpk kajifungua aisee nitakushkuru mno
nimekoma mpk najiuliza anafanya makusudi au naomba nsaidie nikuliza watu wansema eti ndio mimba iyo basi nakuwa mpoleKupatwa kwa Iblis bin Shetani.kweli mapenzi Yana nguvu
Team septemba gonga likeWale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.
Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;
1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.
2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.
3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.
Kama kuna la kuongozea niongezee.
😂😂😂Ni mimbanimekoma mpk najiuliza anafanya makusudi au naomba nsaidie nikuliza watu wansema eti ndio mimba iyo basi nakuwa mpole
yaan haya maji ukiyavulia kyaoga huna budi😂😂😂Ni mimba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weeeeeeeKwenye sex hapo kipengele[emoji23][emoji119] wengine tukiwa na mimba nyege ndo zinakuwa nyingi[emoji38][emoji38] jamani mimi nilikua nanyanduana hadi wiki ya mwisho ya kujifungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji276]
Amepigwa hapa.Siku 7 za mwanzo before hajaanza kupata damu mimba sekunde.. brooo hiyo mimba inapatikana wapi!?
Duh wewe usije kuwa mke wangu aisee,maana tuliitafuta mimba mwezi wa 8 mwaka jana.😄😄Team April, mimi pia Mungu akijalia nitaleta kiumbe mwezi April....Mungu atuvushe salama na wenzetu wote.
Ila miezi 3 ya mwanzo sina hamu nayo sasa hivi ni mwendo wa kukosa usingizi na usiku kula kama kiwavi.
Picha tafadhaliMsisahau dishi la kuogea mtoto Ni laki moja kwa Sasa!mjipange msijewaogeshea watoto kwenye ndoo za kleensoft[emoji16]
Lolote linawezekana ujue maana wa JF ndio walewale wa mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tujiandae tuuDuh wewe usije kuwa mke wangu aisee,maana tuliitafuta mimba mwezi wa 8 mwaka jana.[emoji1][emoji1]
Hilo lakini hadi ya 20000 yapo. Hizi ni mbwembwe tuu hasa za sisi kina mama.Picha tafadhali
For sure hebu weka picha za lile la 20k ?Hilo lakini hadi ya 20000 yapo. Hizi ni mbwembwe tuu hasa za sisi kina mama.View attachment 2488015
Yapo ya wadogo zao tumewatunzia 😂😂😂😂Msisahau dishi la kuogea mtoto Ni laki moja kwa Sasa!mjipange msijewaogeshea watoto kwenye ndoo za kleensoft😁