Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Kuna wadau watafanya jamaa aidha asuse na kuukimbia uzi ama lah furaha yake ikabatilishwa.

Wadau wameshikilia bango utungwaji mimba.

Wanaume wengi wana hili la kutojua mimba inatungwa wakati gani(mwanamke akiwa siku gani kwenye mzunguko wake).

Kuna dogo ni mwanachuo hakua hata anajua nini maana ya menstruation cycle, dem wake kumwambia yupo kweny siku zake dogo akaona ni kitu cha ajabu mno. Anabwabwaja asijue kina maana gani, kwa ubwabwajaji wa dogo alikua ilikua akicheza rafu kwa dem yeyote hawezi chomoa akibambikiwa kibendi.

Hivi vitu si vya wanawake pekee, tujifunze jama.
 
Siku 7 za mwanzo before hajaanza kupata damu mimba sekunde.. brooo hiyo mimba inapatikana wapi!?
Ndio anapata mimba kwasababu mimba hupatikana 10 la kati au 10 la mwisho mkuu uliza uelimishwe
Hedhi ya mwananmke ipo katika makundi 3.
1.Siku 25- 28 wengi zaidi
2. Siku 30 wachache
3. Siku 35 wachache zaidi
Hivyo kwa mazingira haya pia upevushwajo wa mayai hauwi sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom