Baba V kwa mara nyingine!

Baba V kwa mara nyingine!

Baba V pole sana
Ukiingia jukwaa la siasa uwe na moyo kama wa mwendawazimu maana ban haichelewi
 
Last edited by a moderator:
mmh!! binti yangu nawe waona khaa!....mkoloni anabana mbaya, ila usijali daddy atakuwa anakucheck kila apatapo wasaa!!!

Daddy we naye mpana ka nini... Afu mbona umenichunia bintiyo?????
 
Jamani jamani this is not fair we Nicas Mtei iko penda sana shupalia noahism kwa nini lakini?uamuzi wake jamani na karibia wengi tunajua id zake zote 4 sababu hatumii vibaya.
Hata kama hajasahau kakusudia kutumia zote 2 uamuzi wake hajavunja sheria yoyote.
Muache apumuweeee
Pumzsha ID moja.. Thread 1 unatumia ID zote jamani? Angalia yasikukute ya Mary
 
Last edited by a moderator:
amu cool down umapata azam mango yako?
Jamani jamani this is not fair we Nicas Mtei iko penda sana shupalia noahism kwa nini lakini?uamuzi wake jamani na karibia wengi tunajua id zake zote 4 sababu hatumii vibaya.
Hata kama hajasahau kakusudia kutumia zote 2 uamuzi wake hajavunja sheria yoyote.
Muache apumuweeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom