Baba V kwa mara nyingine!

Baba V kwa mara nyingine!

Nimemuona aisee, yule mzee siasa zitamuua, tatizo mbishi mno., haya sasa wenye mpango wa kufunga ndoa hivi karibuni watasubiri saana
 
Nicas Mtei sijawai fanya ovu wala sifikirii kufanya na siwezi adaa watu humu kwani huo ni ujuha.... napita pita kule nikadhani natumia hii kumbe nyingine

Teh teh teh teh teh. Haya bana. Hata Mndali naye alijchanganya hvyohvyo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom