Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Mnaishi na mwenzako, msome vizuri huyo mtu wako yukoje. Kama unataka kuondoka ondoka kweli, lakini kutishia unaondoka teh sio kwa hawa wanaume wa mwendokasi. Utarudi mwenyewe bila kuitwa, tena kwa aibu kijuso kidogooo, afu unamkuta mwenzio hana hata habari

Mwambie shoga ako arudi alee watoto wake, ndo ashalikoroga hivyo. Kingine kama ataamua kurudi shule au kutafuta kazi/biashara itakuwa kheri zaidi. Achakarike tu na maisha yake na wanawe, me sioni dalili ya ndoa hapo kwa sasa hivi honestly.

Naziona busara za kutosha hapa...
 
Akili za kuambiwa lazima uchanganye na zako..Kama jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumpiga chini hapo anafurahia mno tena na hiyo simu kutoka kwa Baba mkwe ni uthibitisho tosha kuwa mwanamke kashafika kwao..Hakuna cha kumfuata wala nini nikupambana na watoto tu kama hilo ndilo lilikuwa lengo la huyo jamaa...Sumu haijaribiwi kwa kuonja..

Nakubaliana na wewe mkuu.

Bibie kachemsha jinsi ya kucheza karata zake. Inaonyesha uamuzi uliotokana na akili za kuambiwa bila kuchanganya na za kwake umemrahisishia mchizi kinoma kufanya maamuzi ya kumtema mama watoto. Dizaini jamaa alishangilia maana inaonekana alishamchoka bibie na alikuwa anatafuta sababu ya maana tu ili amteme.
 
Kama hawajagombana yeye kilimkimbiza nini sasa, yaani uache watoto eti unalazimisha ndoa, yaani Sie wanawake kuna muda akili zinahama jamani. Hilo ni suala la yeye na mzazi mwenzie kuelewana tu, kama ndoa ipo tu hata uwe na watoto sita na anaweza kuwa na hiyo ndoa wala asiifurahie wangapi wapo kwenye ndoa na wanaishi kama maadui bwana aaaaah, tena amshukuru Mungu analishwa, watoto wanasoma na usafiri wa kwenda sokoni anao. Mwambie arudi haraka akawalee watoto ni upepo tu umepita hapo mumewe mtarajiwa atarudi kwenye hali yake ya kawaida.

Ushauri mzuri
 
Sasa nimeelewa. Ukweli uko hivi......., Mke anakubarika sana upande wa Mumewe Ila Mume hakubariki upande wa mke wake.

Mke amekuwa akifanya Uovu ( Usaliti) kwa Mumewe na kukimbilia Ukweni , tena kwa kumshtaki jamaa kwa Ndugu zake kuwa anamsingizia au kumuonea.

Jamaa kila akiiambia familia yake juu ya matatizo ya mkewe hawamjali wanamuona kama yeye ndio anamakosa na ni mkorofi.

Hii pia, imefanya huyo mke wake kuweka ngome pande zote mbili; yaani hata kwa upande wa mwanamke kuwa jamaa ni mkorofi.

Lakini ukweli ni kwamba, Mwanamke huyo ndio chanzo cha matatizo yote hayo.

Kuna maovu ambayo amekuwa akiyafanya, ya unafki, kiburi, jeuri , dharau, uzinzi, Usaliti na kuwa na kauli mbaya kwa Mumewe.

Akumbuke kwamba, Mumewe hana tabia za Umalaya na kwamba toka awali amekuwa akimjali na kumtimizia mahitaji yake.

Aliwahi pia kumwambia, hapendi mitaala, na kwamba asipoachana na tabia zake basi atazaa nje ya ndoa.

Kiufupi, mwanamke ndiyo tatizo; haelewi maana ya mume, KITANDA cha NDOA, Familia hata maisha ya NDOA.

Anataka kila kitu aambiwe. Anapenda pia kukuza mambo pasipo hata na ULAZIMA. Sio mtiifu , Muelewa + Mnyenyekevu kwa Mumewe.

Mavazi yake machafu , tamaa za Mwili, kuintertain wanamme hovyo, kutoridhika, anaishi kwa kushobokea wanamme ili wamtongoze. Ana marafiki Malaya wasiojua hata maana ya ndoa zaidi ya kumshauri Uzinzi.

hii mada
 
Pia mwanamke huyo anatabia za kuigiza, kumpenda Mungu kinafki

Mkuu unawajua hawa wahusika vizuri eeh? Naona umeongea kwa facts na hisia kibao. Tueleze zaidi mkuu ili tuweze kufanya informed contribution kwenye
 
Pia mwanamke huyo anatabia za kuigiza, kumpenda Mungu kinafki[/QUOTE]

Mkuu unawajua hawa wahusika vizuri eeh? Naona umeongea kwa facts na hisia kibao. Tueleze zaidi mkuu ili tuweze kufanya informed contribution kwenye
 
Kitu kimoja shost akijue kuwa akiamua kurudi hatakuwa na uwezo wa hata wa kumuuliza mwanaume umetoka wapi, au kwanini umechelewa kwasababu hata hajabembelezwa kurudi.
Kwasasa hilo so muhimu sana, we mwambie arudi kwake kwanza hayo mengine yatakuja taratibu
 
Kitu kimoja shost akijue kuwa akiamua kurudi hatakuwa na uwezo wa hata wa kumuuliza mwanaume umetoka wapi, au kwanini umechelewa kwasababu hata hajabembelezwa kurudi.
Kwani mwanzo alikua akiuliza na kujibiwa, kilichomkimbiza nyumbani kipi
 
hivi viumbe ni dhaifu japokuwa wenyewe huu msemo hawataki kuusikia
 
Huna kosa lolote aisee. Alihitaji ushauri na ulimpa ushauri huo kwa kadri ya hekima zako kama a concerned rafiki. Iwe ulikuwa mbaya au mzuri....Alikuwa na hiari ya kuufuata au kuachana nao. Awe responsible na mambo yake mwenyewe na huyo mpenzi wake. Aubebe msalaba wake mwenyewe badala ya ku-transfer blames, something that will not help her !!
Word.
 
Kweli kuna wanawake Wapumbavu,

Hivi kosa la huyo jamaa hapo ni lipi? Huyo mwanamke amemkuta jamaa na hatia gani?

Huyo baba ana haki gani ya kuhoji hayo wakati hakuna ndoa hapo?

Kwenda kwake huko kwao huyo mwanamke kumesaidia nini?

Huu ushauri wa marafiki unawaponza wengi mno.
 
Asante sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom