Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Acha kudanganya watu !!! Huwezi kuwa kwenye Giza, then ukaupata mwanga kirahisi rahisi tu.

Mwanga ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Dhambi dhambi

Mungu Mungu

Cut some slacks dude and give God some break
 
Kwa taarifa yako, Wazazi wa sasa ndio Nguzo namba moja ya kuvunja ndoa za watoto wao, ; Marafiki wanachukua nafasi ya nne.

Wazazi wa sasa wanaangalia pesa, sio Utu au Uhai. Kama mumeo hana pesa au mke hana Kazi , watakushauri umuache kwasababu hawatapata matunzo.

Yaonyesha pia, wewe ni KIKOJOZI mkubwa na hauna hofu na Mungu kabisa aisee!!!
Hasira au kukosa maarifa? Hongera yako ummjuaye Mungu
 
Ndugu, Naomba Msamaha mbele ya Mungu na kwako pia. Tafadhali nisamehe sana kwa kukukwaza. (Kutoka Moyoni, Nafsini + Akilini mwangu).

NB; Mimesoma upya na kuelewa nilichoandika. Hakika nimekutenda Uovu. ( Nina amini, I wasn't in the right mood)

517e3ecbcbd223658e37ea300f1a56fa.jpg

Vizuri hii
 
Mimi_ Kaka... shemej anataka kurud,
Kaka_ Yaan mdogo wangu yule mwanamke hata sitaki kumsikia.
Mimi_ Usimkubalie atakuja kukusumbua maana mwanzo shoga yake almwambia aondoke, akakukmbia na sahv anamshaur arud.
Kaka_ Mdogo wang hawa mashoga ni wapuuz sana, kua nao makin na cku ukioa tambua adui wa mkeo ni mashost wake, sahv nipo najiliwaza na mmoja wa mashost wake.
 
kuna tatizo hapo...mpaka mwanaume anaamua kuwa hivyo jua kunamistreatment....huenda mwanamke ana gubu au much know,so mume kaona ajifanye mjinga...ndivyo tulivyo tukiona mtu anaelezwa mara tatu nne bado yale yale
 
Waaoh
 
Kumbe eeh
 
Akijilipua si unajua kitakachoendelea, asifungue mdomo hata kama jamaa ataamua kurudi baada ya siku tatu. Hii ni shida jamani kwasababu hakuna aliembembeleza arudi.
Ndio maana nikasema akaendelee na mambo yake mengine kikubwa akae karibu alee watoto wake kuliko aje alelewe na mlezi asiemjua. Mwanaume akishaamua kaamua hata afanyeje labda roho wa huruma amuingie ndio atarudi nyuma. Kama hakatazwi kurudi na arudi tu maana sababu anayo kuwa amerudi kulea watoto wake kama akifukuzwa tena hapo itakuwa habari nyengine sasa.
 
Wewe si unajua mila zetu za kiafrika zilivyo, unafahamu binti ameidhalilisha sana familia yake, mpaka baba ambae anajua kabisa mwanae hajaolewa lakini amejaribu kuingilia na kumuuliza jamaa kiungwana kama kunatatizo, inaelekea jamaa hana mpango wa kwenda ukweni.
Kama hana mpango basi sio kila mahusiano yakomee kwenye ndoa jmn. Wangapi tumewaona wamezaa na same person watoto mpk wanne ila jamaa haoneshi hata dalili ya kuishi na huyo mtu matokeo yake kaoa mwanamke mwengine ambae hajazaa nae na yupo happy na mwente watoto wanne ni nyumba ndogo. Lkn lazima tutambue kuwa huyo jamaa sio majununi kivile mpk amdis kiasi hicho huyo dada,itakuwa kuna kitu kambore tu.
 
Mijanamke mijinga tuu ndio inakubali kutiwa mimba akiexpect kuwa hiyo ndio pathway to marrige.
 
Kama hana mpango basi sio kila mahusiano yakomee kwenye ndoa jmn. Wangapi tumewaona wamezaa na same person watoto mpk wanne ila jamaa haoneshi hata dalili ya kuishi na huyo mtu matokeo yake kaoa mwanamke mwengine ambae hajazaa nae na yupo happy na mwente watoto wanne ni nyumba ndogo. Lkn lazima tutambue kuwa huyo jamaa sio majununi kivile mpk amdis kiasi hicho huyo dada,itakuwa kuna kitu kambore tu.

Kwakweli, akijipanga anaweza kukutana na mtu ambae atamuenzi na kumpenda mpaka mwenyewe ajiulize kilichokuwa kinamhangaisha pale ni kitu gani. Lakini lazima wakubaliane malezi ya watoto. Hamuezi kukaa nyumba moja hamna mawasiliano.
 
Upo sahihi lazima aangalie mbele ajue hatma ya familia yake (watoto) awe bussy kuwaandalia future kuliko kung'ang'ana kuwa na mwanaume asiemuhitaji.
 
Ndo tabu za kujipeleka kwa mwanaume tena kama Mimi ningerudisha cku nyuma mwanaume angetumia nguvu ya ziada kumipata. Wanadharau sana awa watuu.najua kinamuumiza watoto tuu ila isingekua ivoo akuu angemwacha aende kwan wameisha bhana
 
Sababu iliyonifanya kutoa ushauri huu ni kwakua shost anataka kuwa mke halali, niliona yeye kwenda nyumbani itasaidia kuleta communication kati ya jamaa na wazazi.

Huna kosa lolote aisee. Alihitaji ushauri na ulimpa ushauri huo kwa kadri ya hekima zako kama a concerned rafiki. Iwe ulikuwa mbaya au mzuri....Alikuwa na hiari ya kuufuata au kuachana nao. Awe responsible na mambo yake mwenyewe na huyo mpenzi wake. Aubebe msalaba wake mwenyewe badala ya ku-transfer blames, something that will not help her !!
 
Mnaishi na mwenzako, msome vizuri huyo mtu wako yukoje. Kama unataka kuondoka ondoka kweli, lakini kutishia unaondoka teh sio kwa hawa wanaume wa mwendokasi. Utarudi mwenyewe bila kuitwa, tena kwa aibu kijuso kidogooo, afu unamkuta mwenzio hana hata habari

Mwambie shoga ako arudi alee watoto wake, ndo ashalikoroga hivyo. Kingine kama ataamua kurudi shule au kutafuta kazi/biashara itakuwa kheri zaidi. Achakarike tu na maisha yake na wanawe, me sioni dalili ya ndoa hapo kwa sasa hivi honestly.

Una akili nyingi....
 
Full busara....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom