Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Asirudi, aanze maisha mapya.

Kudharauliwa ukoo mzima na mtu mmoja ni matusi makubwa sana
Acha kumponza mwenzio,arudi alee watoto,nani asojua ndoa zina matatizo, mbona yake madogo?aibu bongo?hana mbele wala nyuma aibu ya nini
 
Simponzi, hamna ndoa hapo.

The best option kwenye maisha ya binadamu ni uthubutu wa kusonga mbele.

Kama upo gizani ni kumove palipo na mwanga.

I have seen a lot of people improving after moving forward from maisha hayo hayo yasiyo na future.
 
Miaka yote hajawahi fanya saivi ndo ataweza,?sana sana arudi kwa mume wakisharudi in good terms amuombe amfungulie biashara

Hiyo miaka yote alijaribu kufanya biashara au alijibweteka tu?

Wabongo hatuna uthubutu, mtu yeyote bila uthubutu huwezi kufanikiwa
 
Simponzi, hamna ndoa hapo.

The best option kwenye maisha ya binadamu ni uthubutu wa kusonga mbele.

Kama upo gizani ni kumove palipo na mwanga.

I have seen a lot of people improving after moving forward from maisha hayo hayo yasiyo na future.
Ndoa aongee nae kwanza,mana the guy can marry her vilevile, yani mtu ashazaa watoto wawili wameishi miaka awaache walelewe na mama wa kambo?huko anakoenda kwenyewe nani amuoe mama wa watoto wawili usie na elimu wala biashara wala kazi,afikirie kwanza wat AR the options
 
Kwa hizi akili ni ngumu sana kujituma na kujitegemea.

Nimetoa ushauri, mleta mada atachagua nini cha kushauri kwani hata maoni yako ni ushauri pia
 
Hiyo miaka yote alijaribu kufanya biashara au alijibweteka tu?

Wabongo hatuna uthubutu, mtu yeyote bila uthubutu huwezi kufanikiwa
Alijibweteka mana shule ilimpiga chini,sasa mitikisiko hii imfunze,arudi kwa mume na aanza biashara, asipoteze mume/familia na badae biashara ikimpiga anakua hana chochote
Kwa mwanamke familia matters alot to her kuliko kazi ndo mana tuna wamama wanakaa home tu kulea,ila ulezi una magumu yake na unakua taken for granted, ts best uwe na shughuli aftr some years watoto wamekua unatoka na wewe unaingiza hata mia
 
Kinachomuuma roho bibie hathaminiwi na mume haonyeshi mapenzi, yanamtokea kila mwanandoa sometimes, utajuaje raha ya mapenzi kama kuna muda huyakosi??
 
Raha ni tunda la mwisho katika mahusiano.

1. Ukweli 2. Elimu (Amani) 3. Raha

Vyote hufanya Kazi kwa kushirikiana. Na kamwe havipatikani mara moja. Kila kimoja kina muda wake , hatua zake na majaribu yake ; Ukiwa Uvumilivu utaweza kukamilisha vyote.

Ukiona wazee wazima na wenzi wao wanatembea kwa Furaha , ujue wamepitia mishale mingi. Wengine waliwahi kuwafuma wenzi wao zaidi ya mara 30....,

#Relationship is a Journey from the Wilderness, to the Dry ground, and from the Dry ground to the Desert, and finally to the Level ground.
Kudos,ubora wa mahusiano ni mapitio mliopita na mkatoka kuwa bora zaidi ya mlivokuwa,
Ukishaelewa kuna ups and downs na lazima upitie kama umependa utatulia
 
Simponzi, hamna ndoa hapo.

The best option kwenye maisha ya binadamu ni uthubutu wa kusonga mbele.

Kama upo gizani ni kumove palipo na mwanga.

I have seen a lot of people improving after moving forward from maisha hayo hayo yasiyo na future.
Acha kudanganya watu !!! Huwezi kuwa kwenye Giza, then ukaupata mwanga kirahisi rahisi tu.

Mwanga ni zawadi kutoka kwa Mungu.
 
Hiyo miaka yote alijaribu kufanya biashara au alijibweteka tu?

Wabongo hatuna uthubutu, mtu yeyote bila uthubutu huwezi kufanikiwa
Uthubutu ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kuna uthubutu wa giza pia unaojengwa katika misingi ya ujuaji,kiburi,jeuli, ubabe, dharau n.k , bila shaka utakua unauongelea huo
 
Kwa hizi akili ni ngumu sana kujituma na kujitegemea.

Nimetoa ushauri, mleta mada atachagua nini cha kushauri kwani hata maoni yako ni ushauri pia
Ushauri wako hauna Hekima. Ni wakibinafsi sana. Na inavyoonyesha wewe pia ni muathirika wa masuala kama Haya, na hivyo ndivyo ulivyotatua suala lako.

Unaonekana ni mtu mwenye kiburi na majivuno , huna hofu na Mungu wala huruma.

Vipi kuhusu watoto??? Nyie ndio huwa mnapata laana za watoto pasipo hata kuelewa.

Maisha ya dhambi ni mabaya; Muhimu kuwa karibu na Mungu.
 
Kitu kimoja shost akijue kuwa akiamua kurudi hatakuwa na uwezo wa hata wa kumuuliza mwanaume umetoka wapi, au kwanini umechelewa kwasababu hata hajabembelezwa kurudi.
 
Sasa nimeelewa. Ukweli uko hivi......., Mke anakubarika sana upande wa Mumewe Ila Mume hakubariki upande wa mke wake.

Mke amekuwa akifanya Uovu ( Usaliti) kwa Mumewe na kukimbilia Ukweni , tena kwa kumshtaki jamaa kwa Ndugu zake kuwa anamsingizia au kumuonea.

Jamaa kila akiiambia familia yake juu ya matatizo ya mkewe hawamjali wanamuona kama yeye ndio anamakosa na ni mkorofi.

Hii pia, imefanya huyo mke wake kuweka ngome pande zote mbili; yaani hata kwa upande wa mwanamke kuwa jamaa ni mkorofi.

Lakini ukweli ni kwamba, Mwanamke huyo ndio chanzo cha matatizo yote hayo.

Kuna maovu ambayo amekuwa akiyafanya, ya unafki, kiburi, jeuri , dharau, uzinzi, Usaliti na kuwa na kauli mbaya kwa Mumewe.

Akumbuke kwamba, Mumewe hana tabia za Umalaya na kwamba toka awali amekuwa akimjali na kumtimizia mahitaji yake.

Aliwahi pia kumwambia, hapendi mitaala, na kwamba asipoachana na tabia zake basi atazaa nje ya ndoa.

Kiufupi, mwanamke ndiyo tatizo; haelewi maana ya mume, KITANDA cha NDOA, Familia hata maisha ya NDOA.

Anataka kila kitu aambiwe. Anapenda pia kukuza mambo pasipo hata na ULAZIMA. Sio mtiifu , Muelewa + Mnyenyekevu kwa Mumewe.

Mavazi yake machafu , tamaa za Mwili, kuintertain wanamme hovyo, kutoridhika, anaishi kwa kushobokea wanamme ili wamtongoze. Ana marafiki Malaya wasiojua hata maana ya ndoa zaidi ya kumshauri Uzinzi.

Pia mwanamke huyo anatabia za kuigiza, kumpenda Mungu kinafki
 
Nahisi kama huu ni mwandiko wa Mme wake eti? Au macho yangu?
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.
Wanawake bana they are all the same, so st*p*d except my mom, yaani unakua tayari kuwatelekeza wanao eti kisa utaonekana unashida sana ukirudi kwa mumeo!! Utaishi maisha ya kuigiza mpaka lini? Ptuuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom