Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

..hahaaa wanawake bwana full pasua vichwa! haswa wale wanaokaa tu majumbani bila kufanya kazi (mama wa nyumbani)..nimekumbuka mkasa mmoja wa namna hii hapa napoishi ulitokea mwaka jana
.."kuna jamaa mmoja yeye ni dreva noah na hiyo noah yeye ndiye mmiliki wake,huyo jamaa ni mstaarabu sana na alikuwa akiishi na binti mmoja na wamejaaliwa mtoto mmoja, ila hawajafunga ndoa na jamaa hajatoa hata mahari,hapa nilipo kuna manurse wawili sasa jamaa wa noah akiwa anarejea gheto jioni kutoks kwenye mihangaiki mara kwa mara huwa huwa anakutana na nurse mmoja kati ya hao wawili akirejea gheto basi jamaa wa noah kila akimkuta hivyo anampa lift kuja gheto kwani wanakaa sehemu moja!..maskini kumbe yule binti dreva noah huwa hafurahishwi na kile kitendo,akaanza kuzusha yule nurse anatembea na mumewe..zikawa kelele na miugomvi kila siku,binti akaenda kuomba ushauri kwa yule nurse wa pili,yule nurse akamshauri aende kwao kwa muda kama kumtisha jamaa..binti kweli kachukua mtoto wake kaenda kwao..jamaa kurudii usiku kuambiwa binti karudi kwao alichokifanya jamaa asubuhi yake alikusanya nguo na vitu vyake vyote akampelekea kwao..hili tukio lilitokea mwezi wa saba mwaka jana mpaka leo jamaa hajamrudisha na kamwe anasema hatimfuatilia sababu hakumfukuza!!..yule binti huwa nakutana nae mara kwa mara na anajutia kweli anatamani kujirudisha ila hana pa kuanzua..wanawake acheni kushikiwa akili,yakuambia yapembueni..msiwe kama mbayuwayu!!
 
Ina maana jamaa alibadilika gafla?? Hakuna upepo uliopita kati yao kweli?? Mimi nahisi kina kitu kimesababisha hiyo hali huyo shosti hajakuambia...pole yake
 
Kama kuna kitu basi jamaa hajasema, lakini ndugu wa mume wanamkubali shost vibaya sana, hata wifi mkubwa amemuomba aende akakae nae wakiangalia hali ya hewa inaendaje.
 
..hahaaa wanawake bwana full pasua vichwa! haswa wale wanaokaa tu majumbani bila kufanya kazi (mama wa nyumbani)..nimekumbuka mkasa mmoja wa namna hii hapa napoishi ulitokea mwaka jana
.."kuna jamaa mmoja yeye ni dreva noah na hiyo noah yeye ndiye mmiliki wake,huyo jamaa ni mstaarabu sana na alikuwa akiishi na binti mmoja na wamejaaliwa mtoto mmoja, ila hawajafunga ndoa na jamaa hajatoa hata mahari,hapa nilipo kuna manurse wawili sasa jamaa wa noah akiwa anarejea gheto jioni kutoks kwenye mihangaiki mara kwa mara huwa huwa anakutana na nurse mmoja kati ya hao wawili akirejea gheto basi jamaa wa noah kila akimkuta hivyo anampa lift kuja gheto kwani wanakaa sehemu moja!..maskini kumbe yule binti dreva noah huwa hafurahishwi na kile kitendo,akaanza kuzusha yule nurse anatembea na mumewe..zikawa kelele na miugomvi kila siku,binti akaenda kuomba ushauri kwa yule nurse wa pili,yule nurse akamshauri aende kwao kwa muda kama kumtisha jamaa..binti kweli kachukua mtoto wake kaenda kwao..jamaa kurudii usiku kuambiwa binti karudi kwao alichokifanya jamaa asubuhi yake alikusanya nguo na vitu vyake vyote akampelekea kwao..hili tukio lilitokea mwezi wa saba mwaka jana mpaka leo jamaa hajamrudisha na kamwe anasema hatimfuatilia sababu hakumfukuza!!..yule binti huwa nakutana nae mara kwa mara na anajutia kweli anatamani kujirudisha ila hana pa kuanzua..wanawake acheni kushikiwa akili,yakuambia yapembueni..msiwe kama mbayuwayu!!
Alibeep kumbe simu iko full charged. Pole zake mwe. My take usipange maisha kwenye kichwa cha mwenzako. Kaeni kila mmoja akielewa nipo nae kwa mapenzi tu lakini bila mimi yuko vizuri tu.
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.
Ajilipue tu akalee watoto wake hata kama bwana asipokuwa na habari nae ajishughulishe na mambo yake mengine
 
Kama kuna kitu basi jamaa hajasema, lakini ndugu wa mume wanamkubali shost vibaya sana, hata wifi mkubwa amemuomba aende akakae nae wakiangalia hali ya hewa inaendaje.
Sasa nimeelewa. Ukweli uko hivi......., Mke anakubarika sana upande wa Mumewe Ila Mume hakubariki upande wa mke wake.

Mke amekuwa akifanya Uovu ( Usaliti) kwa Mumewe na kukimbilia Ukweni , tena kwa kumshtaki jamaa kwa Ndugu zake kuwa anamsingizia au kumuonea.

Jamaa kila akiiambia familia yake juu ya matatizo ya mkewe hawamjali wanamuona kama yeye ndio anamakosa na ni mkorofi.

Hii pia, imefanya huyo mke wake kuweka ngome pande zote mbili; yaani hata kwa upande wa mwanamke kuwa jamaa ni mkorofi.

Lakini ukweli ni kwamba, Mwanamke huyo ndio chanzo cha matatizo yote hayo.

Kuna maovu ambayo amekuwa akiyafanya, ya unafki, kiburi, jeuri , dharau, uzinzi, Usaliti na kuwa na kauli mbaya kwa Mumewe.

Akumbuke kwamba, Mumewe hana tabia za Umalaya na kwamba toka awali amekuwa akimjali na kumtimizia mahitaji yake.

Aliwahi pia kumwambia, hapendi mitaala, na kwamba asipoachana na tabia zake basi atazaa nje ya ndoa.

Kiufupi, mwanamke ndiyo tatizo; haelewi maana ya mume, KITANDA cha NDOA, Familia hata maisha ya NDOA.

Anataka kila kitu aambiwe. Anapenda pia kukuza mambo pasipo hata na ULAZIMA. Sio mtiifu , Muelewa + Mnyenyekevu kwa Mumewe.

Mavazi yake machafu , tamaa za Mwili, kuintertain wanamme hovyo, kutoridhika, anaishi kwa kushobokea wanamme ili wamtongoze. Ana marafiki Malaya wasiojua hata maana ya ndoa zaidi ya kumshauri Uzinzi.

Pia mwanamke huyo anatabia za kuigiza, kumpenda Mungu kinafki
 
Aiseee
 
Vizuri tu, na kuna house girl na pia dereva/houseboy. Watoto pia wanasoma shule nzuri. Matatizo ni kuwa mapenzi hakuna.
Mwambie rafikiyo aache ujinga arudi kulea wanae,Kuna wanawake wengine wapo kwenye ndoa maisha mabovu na mapenzi hakuna ila wanakomaa tu,ndo ndoa hio ts not always about good times bad times km hizi tulizana ombea familia na mumeo atulie na azidi fanikiwa, mana literally huyo ni mume wake,
asizae mtoto mwingine alee hao waliopo kwa sasa,amnyenyekee mume kama zamani, aache magomvi nyumbani, azidishe mapenzi
 
..hahaaa wanawake bwana full pasua vichwa! haswa wale wanaokaa tu majumbani bila kufanya kazi (mama wa nyumbani)..nimekumbuka mkasa mmoja wa namna hii hapa napoishi ulitokea mwaka jana
.."kuna jamaa mmoja yeye ni dreva noah na hiyo noah yeye ndiye mmiliki wake,huyo jamaa ni mstaarabu sana na alikuwa akiishi na binti mmoja na wamejaaliwa mtoto mmoja, ila hawajafunga ndoa na jamaa hajatoa hata mahari,hapa nilipo kuna manurse wawili sasa jamaa wa noah akiwa anarejea gheto jioni kutoks kwenye mihangaiki mara kwa mara huwa huwa anakutana na nurse mmoja kati ya hao wawili akirejea gheto basi jamaa wa noah kila akimkuta hivyo anampa lift kuja gheto kwani wanakaa sehemu moja!..maskini kumbe yule binti dreva noah huwa hafurahishwi na kile kitendo,akaanza kuzusha yule nurse anatembea na mumewe..zikawa kelele na miugomvi kila siku,binti akaenda kuomba ushauri kwa yule nurse wa pili,yule nurse akamshauri aende kwao kwa muda kama kumtisha jamaa..binti kweli kachukua mtoto wake kaenda kwao..jamaa kurudii usiku kuambiwa binti karudi kwao alichokifanya jamaa asubuhi yake alikusanya nguo na vitu vyake vyote akampelekea kwao..hili tukio lilitokea mwezi wa saba mwaka jana mpaka leo jamaa hajamrudisha na kamwe anasema hatimfuatilia sababu hakumfukuza!!..yule binti huwa nakutana nae mara kwa mara na anajutia kweli anatamani kujirudisha ila hana pa kuanzua..wanawake acheni kushikiwa akili,yakuambia yapembueni..msiwe kama mbayuwayu!!
Ushajijua mama wa nyumbani huna mbele wala nyuma, kazi huna,elimu huna, biashara huna,ila mwanaume unae kaa mlambe miguu mana utafanya nini sasa....
Wenye elimu,kazi na biashara zao mkizinguana usiku nyumbani asubuhi kila mtu anatoka kwenda kuchakarika mkirudi stress zimepungua siku zinaendelea, wanawake jmn tusiwe mama wa nyumbani full tym,Uwe na kitu chako unafanya na wewe
 
Nitafanyia kazi mkuu
Raha ni tunda la mwisho katika mahusiano.

1. Ukweli 2. Elimu (Amani) 3. Raha

Vyote hufanya Kazi kwa kushirikiana. Na kamwe havipatikani mara moja. Kila kimoja kina muda wake , hatua zake na majaribu yake ; Ukiwa Uvumilivu utaweza kukamilisha vyote.

Ukiona wazee wazima na wenzi wao wanatembea kwa Furaha , ujue wamepitia mishale mingi. Wengine waliwahi kuwafuma wenzi wao zaidi ya mara 30....,

#Relationship is a Journey from the Wilderness, to the Dry ground, and from the Dry ground to the Desert, and finally to the Level ground.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom