Imagine kama Mama yako pia hana Hekima, utafanyaje??? Kwanini mnawaamini sana wanadamu kuliko Mungu? Ni wazazi wangapi wameharibu ndoa za watoto wao kwa kuwashauri vibaya, kuwapa viburi, jeuli na dharau???
Kwa taarifa yako, Wazazi wa sasa ndio Nguzo namba moja ya kuvunja ndoa za watoto wao, ; Marafiki wanachukua nafasi ya nne.Hakuna mtu analazimishwa kubeba ushauri amepewa iwe umetoka kwa nani ana hiari kupuuzia ama kufanyia kazi akili kumkichwa.
Mzazi ni tofauti na watu wengine ushauri wake mara nyingi hulenga kuokoa ama kukuepusha mara chache akakupoteza.
Marafiki sio watu wakuwaamini sana wengi wamejaa wivu na chuki, mara nyingi hawatoi ushauri mzuri kwa experience yangu wengi waliopotea kwa jambo lolote marafiki ndio chanzo.
Huko kwa Mungu kunaitaji wenye kuamini katika roho na kweli.
Kwa taarifa yako, Wazazi wa sasa ndio Nguzo namba moja ya kuvunja ndoa za watoto wao, ; Marafiki wanachukua nafasi ya nne.
Wazazi wa sasa wanaangalia pesa, sio Utu au Uhai. Kama mumeo hana pesa au mke hana Kazi , watakushauri umuache kwasababu hawatapata matunzo.
Yaonyesha pia, wewe ni KIKOJOZI mkubwa na hauna hofu na Mungu kabisa aisee!!!
Ndugu, Naomba Msamaha mbele ya Mungu na kwako pia. Tafadhali nisamehe sana kwa kukukwaza. (Kutoka Moyoni, Nafsini + Akilini mwangu).Nasikitika kukujulisha kwamba Wazazi wangu si wa leo pole wewe ambaye Wazazi wako wa Leo.
Ahsante mimi kikojozi kweli ila swali langu umejuaje? Ungekuwa na Mungu ndani yako ungekiandika hiko ulichokiandika???
Acha kuishi fake life uonekane mwema mbele za watu, swala la Imani ni lako na Muumba wako.
Kama hawajagombana yeye kilimkimbiza nini sasa, yaani uache watoto eti unalazimisha ndoa, yaani Sie wanawake kuna muda akili zinahama jamani. Hilo ni suala la yeye na mzazi mwenzie kuelewana tu, kama ndoa ipo tu hata uwe na watoto sita na anaweza kuwa na hiyo ndoa wala asiifurahie wangapi wapo kwenye ndoa na wanaishi kama maadui bwana aaaaah, tena amshukuru Mungu analishwa, watoto wanasoma na usafiri wa kwenda sokoni anao. Mwambie arudi haraka akawalee watoto ni upepo tu umepita hapo mumewe mtarajiwa atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Ndugu, Naomba Msamaha mbele ya Mungu na kwako pia. Tafadhali nisamehe sana kwa kukukwaza. (Kutoka Moyoni, Nafsini + Akilini mwangu).
NB; Mimesoma upya na kuelewa nilichoandika. Hakika nimekutenda Uovu. ( Nina amini, I wasn't in the right mood)
![]()
Ni kweli kabisa yasikukute, gari amenunuliwa ili watoto wakiugua na baba yuko safarini aweze kuwapeleka hospitali.haya mambo msikie tu mtu anakusimulia lakini yasikukute
mi ninachoamini upendo una majira
1) asubuhi_ na gari ukanunuliwa ukapendwaaa wewe tu full dose mahaba
2) mchana_ we kila kitu kichungu upendo umepotea purukushani za kila aina
3) jion_ asikwambie mtu utasahau yote ya mchana
tafuta hekima za kimungu kumaliza na mwenzio
Ajilipue tu akalee watoto wake hata kama bwana asipokuwa na habari nae ajishughulishe na mambo yake mengine
Wewe si unajua mila zetu za kiafrika zilivyo, unafahamu binti ameidhalilisha sana familia yake, mpaka baba ambae anajua kabisa mwanae hajaolewa lakini amejaribu kuingilia na kumuuliza jamaa kiungwana kama kunatatizo, inaelekea jamaa hana mpango wa kwenda ukweni.Mwambie rafikiyo aache ujinga arudi kulea wanae,Kuna wanawake wengine wapo kwenye ndoa maisha mabovu na mapenzi hakuna ila wanakomaa tu,ndo ndoa hio ts not always about good times bad times km hizi tulizana ombea familia na mumeo atulie na azidi fanikiwa, mana literally huyo ni mume wake,
asizae mtoto mwingine alee hao waliopo kwa sasa,amnyenyekee mume kama zamani, aache magomvi nyumbani, azidishe mapenzi
Gari haikununuliwa kwa mapenzi bali ni jamaa alifikiria watoto wake wakiugua na yeye yuko kwenye biashara watafikaje hospitali, ndiyo bidada kujifunza kuendesha.Miaka yote hajawahi fanya saivi ndo ataweza,?sana sana arudi kwa mume wakisharudi in good terms amuombe amfungulie biashara
Sasa si mapenzi ya familia, gari la watoto mama unaendesha shida yako ikwapi,arudi kwny mwendokasi ndo utathamini hilo gari mfyuu hana shukrani kabisa huyu,wengine kidraivu wanajua bado mwanaume hajajiongeza japo uwezo anao hadi apangwee,huyu limekuja kwanza ndo akajifunza kudrive,Gari haikununuliwa kwa mapenzi bali ni jamaa alifikiria watoto wake wakiugua na yeye yuko kwenye biashara watafikaje hospitali, ndiyo bidada kujifunza kuendesha.
Arudi kwake,ikishindikana akavute ndoa kw mtaalamuWewe si unajua mila zetu za kiafrika zilivyo, unafahamu binti ameidhalilisha sana familia yake, mpaka baba ambae anajua kabisa mwanae hajaolewa lakini amejaribu kuingilia na kumuuliza jamaa kiungwana kama kunatatizo, inaelekea jamaa hana mpango wa kwenda ukweni.
Ushauri wako hauna Hekima. Ni wakibinafsi sana. Na inavyoonyesha wewe pia ni muathirika wa masuala kama Haya, na hivyo ndivyo ulivyotatua suala lako.
Unaonekana ni mtu mwenye kiburi na majivuno , huna hofu na Mungu wala huruma.
Vipi kuhusu watoto??? Nyie ndio huwa mnapata laana za watoto pasipo hata kuelewa.
Maisha ya dhambi ni mabaya; Muhimu kuwa karibu na Mungu.