Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Sasa shosti wako kaona kuzaa na huyo bwana ndio kuekeza au ndio sababu yakumfunga sijaelewa hapo?
 
Kweli kuna wanawake Wapumbavu,

Hivi kosa la huyo jamaa hapo ni lipi? Huyo mwanamke amemkuta jamaa na hatia gani?

Huyo baba ana haki gani ya kuhoji hayo wakati hakuna ndoa hapo?

Kwenda kwake huko kwao huyo mwanamke kumesaidia nini?

Huu ushauri wa marafiki unawaponza wengi mno.

NI KWELI AMEBUGI LKN HANA LA KUFANYA MURADI ANA WATOTO ARUDI TUU AKALEE NA TAHAYURI ZAKE
 
Awe mpole akawachukue wanae arudi nao kwao aanze upya. Sio lazima aendelee kuishi au kuolewa na huyo mwanaume. Arudi shule au atafute biashara aanze mdogomdogo.
Mwambie asiwe desperate sana na ndoa.
 
Kitu kimoja shost akijue kuwa akiamua kurudi hatakuwa na uwezo wa hata wa kumuuliza mwanaume umetoka wapi, au kwanini umechelewa kwasababu hata hajabembelezwa kurudi.
Kwa sasa hilo halina umuhimu. Amuulize ametoka wapi ili iweje? Mtu akishaamua kuwa kivyake hakuna jinsi. Ajiweke busy na watoto wake kama vile huyo bwana hayupo maisha yatakuwa mepesi zaidi...... Aache kumfuatilia mtu mzima.
 
Duh bibie kabeep jamaa kampigia tena mazima, sasa mama ushauri jitahidi ukamuone jamaa huenda akausikiza ushauri wako kama mzazi mwenzake alivyokusikiliza
 
Hii ya watu kuishi maisha tofauti nyumba moja ndiyo mwanzo wa uadui huu. Siku mwanaume akikutamkia chukua wanao mwende kwenu nitawaletea msaada mpaka wakiwa wakubwa.
 
Yalinikuta hayo, shost wangu mwingine alipigwa kibuti, niliambiwa nipige simu nimuulize kwanini amefanya hayo aliyoyafanya. Majibu niliyopewa ni mimi na jamaa pamoja na Mungu ndiye anayajua wala kwa shost sikuweza kurudisha ujumbe kama ulivyokuwa.
 
Hii ya watu kuishi maisha tofauti nyumba moja ndiyo mwanzo wa uadui huu. Siku mwanaume akikutamkia chukua wanao mwende kwenu nitawaletea msaada mpaka wakiwa wakubwa.
Hatakuwa wa kwanza kutimuliwa afadhali yake ana wazazi na pa kwenda kujibana, wengine wanatolewa ndani ya nyumba na ndala mguuni hawana pa kwenda, shilingi ya bwana hawaioni na wana survive. Mweleze arudi. Atunze watoto wake huku akitafuta cha kumuingizia kipato ikifika siku ya siku akatimuliwa atakuwa na pa kuanzia.
 
Asante sana.
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.

Hata mi nakulaumu kwa nini ulimpa mwenzio ushauri wa hovyo kabisa huo? unaondokaje hata ugomvi kulikuwa hakuna?usipime maji ya mto kwa miguu yote miwili utakwenda na maji. Mwanaume hajaribiwi hapa kasmall hauz ndio kanijiweka vizuri sasa kama kalikuwepo
 
Lengo na madhumuni yangu ni jamaa ashtuke na akianza kuuliza uko wapi ingekuwa ice breaking point.
 
Mimi ningerudi tu nilee wanangu kama kuondoka aondoke yeye, haya mambo yakusikiliza au kuomba ushauri kwa marafiki yanajutishaga sana, maamuzi mazuri ni ya wewe na ubongo wako tu mara 100 umuombe ushauri Mama yako.
Ningefanya ivyo pia... ngijaa ngijaaa sitokiiiii
 
Sababu iliyonifanya kutoa ushauri huu ni kwakua shost anataka kuwa mke halali, niliona yeye kwenda nyumbani itasaidia kuleta communication kati ya jamaa na wazazi.
Mwabie arudi kwake alee watoto wake basii yan hakuna discution apo
 
Kama hawajagombana yeye kilimkimbiza nini sasa, yaani uache watoto eti unalazimisha ndoa, yaani Sie wanawake kuna muda akili zinahama jamani. Hilo ni suala la yeye na mzazi mwenzie kuelewana tu, kama ndoa ipo tu hata uwe na watoto sita na anaweza kuwa na hiyo ndoa wala asiifurahie wangapi wapo kwenye ndoa na wanaishi kama maadui bwana aaaaah, tena amshukuru Mungu analishwa, watoto wanasoma na usafiri wa kwenda sokoni anao. Mwambie arudi haraka akawalee watoto ni upepo tu umepita hapo mumewe mtarajiwa atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Mim sinaga hata hamu ya ndoa tatzo wakishaona chereko mara mapicha ya harus watu wamepambwa na wanja wa lulu maskio yanawasimamaa wanataka ndoa..atulie alee watoto bas ndoa km ipo ipo km wazae watoto mia
 
Awe mpole akawachukue wanae arudi nao kwao aanze upya. Sio lazima aendelee kuishi au kuolewa na huyo mwanaume. Arudi shule au atafute biashara aanze mdogomdogo.
Mwambie asiwe desperate sana na ndoa.
Asirudi kwao bhna..arudi kwa mume wake walee watoto ivyo ivyo kibishii watoto wanaweza waungnisha bdae uwez jua
 
Mim sinaga hata hamu ya ndoa tatzo wakishaona chereko mara mapicha ya harus watu wamepambwa na wanja wa lulu maskio yanawasimamaa wanataka ndoa..atulie alee watoto bas ndoa km ipo ipo km wazae watoto mia
Kwa mila za kiafrika ni heshima wazazi wa pande mbili wakutane na mahari itolewe. Bila kufikira kanisani au kwa Shekh, mahari ikitolewa unakuwa na amani.
 
Lengo na madhumuni yangu ni jamaa ashtuke na akianza kuuliza uko wapi ingekuwa ice breaking point.

It take two to tangle. Jua no body is perfect , na pia huwezi jua rafiki yako nae anakosea wapi kumhandle jamaa ungemsadia kwa kumshauri atafute wapi wanakosea ili waweze kurudi kwenye zile amsha amsha za awali hapo ndio aulizie ndoa sasa.
 
Hii ya watu kuishi maisha tofauti nyumba moja ndiyo mwanzo wa uadui huu. Siku mwanaume akikutamkia chukua wanao mwende kwenu nitawaletea msaada mpaka wakiwa wakubwa.
Wewe mbona kama unataka shosti ako arudi kwao eeh? Hata kama ana mpango wa kuondoka, sasa hivi si wakati sahihi. Akae hapo ajipange aanze kuchakarika, hata siku akiamua kuondoka sio anarudi kwao, ila anaenda kuanzisha maisha yake na wanawe. Atakaa na watoto kwa wazazi wake hadi lini? Uzuri mume hana habari naye, hamsumbui kwa chochote, hamgusi tuseme labda kuna maradhi kama ana mtu mwingine huko nje, as you said anakuja tu nyumbani kuona wanae, upendo ashajua umekufa, kujistress kwa nini tena japo kweli inaumaaaa? Hapo anapokaa si ni kama ameachiwa akae yeye na wanawe, presha ya nini tena jamani? Mwambie shoga ako aamke huko usingizini, asahau kuhusu mahari na ndoa, awe tu mama wa ratiba slowly mambo yatajipa + kuna leo na kesho oooh
 
Hali halisi ilivyo ni kuwa jamaa anarudi at any time, anaoga, anaweka nguo kwenye kapu la nguo chafu, anabadili nguo safi. Kama ni mchana anacheza na watoto, anawasaidia home work. Akiamua saa yeyote anachimba.
 
Back
Top Bottom