Asante mkuu.kama anaweza mshauri arudi japokuwa kuna ugumu fulani amuage baba yake kuwa anakwenda kuangalia vitu vyake maana akiendelea kukaa kwao atakut mwanaume kashasogeza mwanamke mwingine sijui atafanyaje maana huwa hawachelewi kuoa mwingine.
alihisi unamwekea kauzibe au atapoteza bahati...sa yanayotokea anaona fedheha kukutafuta...ataona aibu atajisikia vibaya...yani changamoto za life hizi duhaliyataka mwenyewe kwanini aliishi naye bila ndoa?
Kuna rafiki yangu mmoja alitaka ushauri, eti mwanaume wake anataka wazae kwanza ndio atamuoa, nikamwambia asifanye hivyo, akasema sawa, baadae akaja na gia nyingine, eti anataka waishi wote, nikamwambia asifanye hivyo, akasema sawa, sasa kilichotokea sijui ni nini, sasa hivi shostito kakata mawasiliano na aliamua kuishi na huyo mwanaume, yanayoendelea huko hata Darfur kuna afadhali