Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Exactly as nilivyokuelewa, upendo ulishakufa kati yao, wapo tu kulea watoto, Kila mtu na maisha yake. Ndo maana nikasema huyo shoga ako aamke usingizini, akubaliane tu na hali ya sasa kuwa let alone ndoa, upendo tu haupo, aanze kutafuta maisha yake na wanawe. Au wewe unataka shosti ako afanyaje maybe?Hali halisi ilivyo ni kuwa jamaa anarudi at any time, anaoga, anaweka nguo kwenye kapu la nguo chafu, anabadili nguo safi. Kama ni mchana anacheza na watoto, anawasaidia home work. Akiamua saa yeyote anachimba.