Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Shost alikuwa na mapenzi kwa boy friend wake, alikuwa anakwenda for a week, wakati huo ni mwanafunzi. Majibu yalipotoka amepiga chini, basi aliamua kuhamia kwa jamaa mazima. Walianza kuishi kama mume na mke na kufanikiwa kupata watoto wawili.

Jamaa ni mchacharikaji hasa, anapigana mpaka nchi jirani kwenye biashara. Amejenga nyumba ya kawaida, kuna usafiri wa kupeleka watoto shule, mama ana ka usafiri kake. Shost yangu hafanyi kazi, ni mama wa nyumbani.

Sasa hivi hawana maelewano kabisa na mwanaume huyu. Yaani yule mwanaume anakuja pale nyumbani kuangalia watoto wake tu, anaishi na shost kama yuko na shemeji yake. Zaidi ya salamu hakuna hata kiss, hii hali imekua inamfustruate shost yangu tangu January mwaka huu. Kumbuka hajaolewa wala kutolewa mahari. Sasa nilimpa ushauri aende kwao kidogo ampe jamaa nafasi ya kumiss.

Kilichotokea, shost alikwenda kwao, jamaa wala hajapiga hata simu, sasa kinachomuuma aliacha watoto akitegemea baada tu ya siku mbili atapigiwa simu arudi, kimya. Baba yake ameamua kumpigia simu baba watoto, anamuuliza unafahamu kuwa mwenzio yuko hapa, akasema anafahamu ndio maana hakumtafuta. Baba akauliza tena hujiulizi kwanini amekuja bila kukuaga? Alijibu, baba niko busy nikipata nafasi tutaongea vizuri.
HAPA KAZI TUU AKIMALIZA KAZI ATAKUJA
 
Alijua watoto wakishapatikana ndio mwanzo wa familia kinachofuatia wazee wanatafutwa, mahari inalipwa, ndoa inabarikiwa kanisani. Ilikuwa Technic know how.
Yani wanawake wakati mwingine ni wagumu kuelewa mwee, sijui nani kashika ufahamu wetu. Mwanaume akitaka kukuoa atakuoa tu effortlessly. Kujibebesha mimba sio guarantee ya kuolewa, unless atake kukuoa yeye mwenyewe. Unahamishia zubeda lako kwa mwanaume but yupo kimya (na kwa nini uhamie kwa mwanaume bila kufuata taratibu zote), unazaa mtoto wa kwanza kimyaaa, lakini hustuki tu unaongeza na wapili juu, tumlaumu mwanaume au ujinga wako mwenyewe?. Huwa tunaignore red flags nyingi tu, afu baadaye tunaanza kuplay victims. Ndoa hailazimishwi jamani, otherwise utakachokikuta huko ndani, utacheka kitalebani

Yani hawa wanaume wa siku hizi hata akikutolea mahari, usijiaminishe kuwa eti ndo ndoa tayari, ukajibebesha mimba kwa kutaka au akakushawishi. Utaachwa kwenye mataa na mahari yako na mimba yako. Una haraka sana ya kuzaa, subiri siku ya honeymoon ufanye yako.
 
Akili za kuambiwa lazima uchanganye na zako..Kama jamaa alikuwa anatafuta sababu ya kumpiga chini hapo anafurahia mno tena na hiyo simu kutoka kwa Baba mkwe ni uthibitisho tosha kuwa mwanamke kashafika kwao..Hakuna cha kumfuata wala nini nikupambana na watoto tu kama hilo ndilo lilikuwa lengo la huyo jamaa...Sumu haijaribiwi kwa kuonja..
Word
 
Mimi ningerudi tu nilee wanangu kama kuondoka aondoke yeye, haya mambo yakusikiliza au kuomba ushauri kwa marafiki yanajutishaga sana, maamuzi mazuri ni ya wewe na ubongo wako tu mara 100 umuombe ushauri Mama yako.
Imagine kama Mama yako pia hana Hekima, utafanyaje??? Kwanini mnawaamini sana wanadamu kuliko Mungu? Ni wazazi wangapi wameharibu ndoa za watoto wao kwa kuwashauri vibaya, kuwapa viburi, jeuli na dharau???
 
Yani wanawake wakati mwingine ni wagumu kuelewa mwee, sijui nani kashika ufahamu wetu. Mwanaume akitaka kukuoa atakuoa tu effortlessly. Kujibebesha mimba sio guarantee ya kuolewa, unless atake kukuoa yeye mwenyewe. Unahamishia zubeda lako kwa mwanaume but yupo kimya, unazaa mtoto wa kwanza kimyaaa, lakini hustuki tu unaongeza na wapili juu, tumlaumu mwanaume au ujinga wako mwenyewe?. huwa tunaignore red flags nyingi tu, afu baadaye tunaanza kuplay victims. Ndoa hailazimishwi jamani, otherwise utakachokikuta huko ndani, utacheka kitalebani

Yani hawa wanaume wa siku hizi hata akikutolea mahari, usijiaminishe kuwa eti ndo ndoa tayari, ukajibebesha mimba kwa kutaka au akakushawishi. Utaachwa kwenye mataa na mahari yako na mimba yako. Una haraka sana ya kuzaa, subiri siku ya honeymoon ufanye yako.
Anatamani sana kuongeza watoto lakini watapatikana vipi jamaa hamgusi kabisa sasa hivi, matatizo yalianza tangu mwaka jana miezi kama September/October. January yalimshinda ndio alianza kunihadithia, nilimuonea huruma sana, nikamwambia anakuchukulia for granted.
 
Hadaiwi mtu hapo, kosa lake lilikuwa kumuamini mwanaume moja kwa moja, mwanaume ana rangi nyingi sana, yupo kama majira maraj kiangazi mara vuli mara masika mara kipupwe. ndoa ni muhimu sana ila watu hawajui tu, kwanza ndo humfunga mtu kifikra na kihisia ila hapo alipo huyo jamaa yuko huru kwa kila kitu kwa namna yake ye anaona hana deni lolote labda kutimiza mahitaji kwa watoto ila hafikirii deni lolote kwa mwanamke wake. la muhimu huyo dada kujipana kwa namna yake asiwe tegemezi kama ni kusoma au kijiendeleza kiuchumi hii itamfanya huyo aongeze kujiamini na kufuata mawazo ya kuwa na mwanaume kama huyo. akijiweka katika hali atapiga hatua kimaisha na si ajabu baada ya muda akafatwa na huyo mwanaume wake kwa hiyari yake mana atahisi kuna kitu amepungukiwa licha ya kujitosheleza kwa vitu vingi kimahitaji.
 
Anatamani sana kuongeza watoto lakini watapatikana vipi jamaa hamgusi kabisa sasa hivi, matatizo yalianza tangu mwaka jana miezi kama 9/10. January yalimshinda ndio alianza kunihadithia, nilimuonea huruma sana, nikamwambia anakuchukulia for granted.
Lemme tell you one thing, Mwanaume atakutreat the way wewe mwenyewe unavyomruhusu akutreat. Mtu hawezi akakutake for granted kama wewe mwenyewe hubariki hiyo hali. Mtu hakujali afu at the same time Unawaza kuongeza watoto wengine, jamaniiiii!!!!! Kwa nini asibaki nao hao wawili, akawalea vizuri, baba mwenyewe ndo huyo unaona kabisa hana habari na wewe. Watoto wawili wameshindwa kuwaunganisha, ndo huyo wa tatu au nne atawaunganisha? Hata kama mapenzi hayana busara, lakini huyo shosti kazidi. Anaacha kukocentrate na maisha yake na wanawe, ana kazi ya kumuwaza mwanaume asiye na habari naye pyeee
 
Ila nina wasiwasi hili janga ni la kwako na wala si la shost yako,mbona ni kama wewe ndii muhusika mkuu??
 
Kitu kingine kinamuuma ni aibu aliyomwingiza baba yake, yani jamaa ameonyesha dharau kwa baba. Nimeongea nae anasema baba pia hamshauri kurudi kwa mwanaume mwenye dharau hizo.
Hapa iko hivi, huenda Mzazi wa Binti hana Hekima na huyo jamaa anaifahamu akili ya Baba Mkwe.

Suala hili linataka kufanana na la jirani yangu ambalo limetokea hivi karibuni. Baba Mkwe kumchukua binti yake kutoka kwa jamaa, tena kwa kumwambia jamaa "tayari nimeishachukua mwanangu hivyo hatudaiani"..

Jamaa ana watoto wawili na huyo binti. Binti akaondoka bila kumuaga jamaa na kuacha kila kitu mpaka watoto.

Hapa maana yake, wanataka jamaa aende ukweni kubembeleza + kupoteza muda kwenye mambo ya kijinga. Hizo pesa za safari Bora zikaongeza karo ya watoto shule.

#Ushauri: Jamaa ana Haki ya kukaa kimya. Familia haijengwi na watu wa nje bali wanandoa wenyewe, na ndio maana mkiwa mnasex mnakuwa wawili tu sirini.
 
Lemme tell you one thing, Mwanaume atakutreat the way wewe mwenyewe unavyomruhusu akutreat. Mtu hawezi akakutake for granted kama wewe mwenyewe hubariki hiyo hali. Mtu hakujali afu at the same time Unawaza kuongeza watoto wengine, jamaniiiii!!!!! Kwa nini asibaki nao hao wawili, akawalea vizuri, baba mwenyewe ndo huyo unaona kabisa hana habari na wewe. Watoto wawili wameshindwa kuwaunganisha, ndo huyo wa tatu au nne atawaunganisha? Hata kama mapenzi hayana busara, lakini huyo shosti kazidi. Anaacha kukocentrate na maisha yake na wanawe, ana kazi ya kumuwaza mwanaume asiye na habari naye pyeee
I know my friend better, kujiendeleza ki elimu ni no option kwa kua hata kumaliza shule ilikuwa kwa mbinde sana na hii mitihani alirudia na kurudia, mwisho alipata credits za kwenda kuchukua certificate na yenyewe imeboom. Aliona aibu kurudi nyumbani baada ya jitihada zote zilizofanyika, akaamua kujisogeza kwa jamaa.

Kosa la pili ni kupanga maisha yake juu ya kichwa cha mtu mwingine.
 
Mnaishi na mwenzako, msome vizuri huyo mtu wako yukoje. Kama unataka kuondoka ondoka kweli, lakini kutishia unaondoka teh sio kwa hawa wanaume wa mwendokasi. Utarudi mwenyewe bila kuitwa, tena kwa aibu kijuso kidogooo, afu unamkuta mwenzio hana hata habari

Mwambie shoga ako arudi alee watoto wake, ndo ashalikoroga hivyo. Kingine kama ataamua kurudi shule au kutafuta kazi/biashara itakuwa kheri zaidi. Achakarike tu na maisha yake na wanawe, me sioni dalili ya ndoa hapo kwa sasa hivi honestly.
Ndoa bado ipo, kama UKWELI ukiwekwa wazi. Ukweli una nguvu za kushinda maovu. Ukweli una nguvu za kujenga mahusiano Upya.
 
I know my friend better, kujiendeleza ki elimu ni no option kwa kua hata kumaliza shule ilikuwa kwa mbinde sana na hii mitihani alirudia na kurudia, mwisho alipata credits za kwenda kuchukua certificate na yenyewe imeboom. Aliona aibu kurudi nyumbani baada ya jitihada zote zilizofanyika, akaamua kujisogeza kwa jamaa.

Kosa la pili ni kupanga maisha yake juu ya kichwa cha mtu mwingine.
Teh haka ka mtindo ka kujisogeza, kuna watu kanawacost sana. Anyway mshauri basi afanye hata biashara, haya maisha ya sasa hivi si ya kumtegemea mtu kabisa + yeye ana watoto tayari, ajue tu ana majukumu kwa wanae. Unaona mwanaume hana mpango na wewe, afu still upo unajikalia tu apeche alolo mmh
 
Ndoa bado ipo, kama UKWELI ukiwekwa wazi. Ukweli una nguvu za kushinda maovu. Ukweli una nguvu za kujenga mahusiano Upya.
Ndoa ipi hiyo tena mpendwa? Mtu ashakuhama, anakuja tu kuangalia wanawe, huko alipohamia unajua anaishi na nani?
 
Teh haka ka mtindo ka kujisogeza, kuna watu kanawacost sana. Anyway mshauri basi afanye hata biashara, haya maisha ya sasa hivi si ya kumtegemea mtu kabisa + yeye ana watoto tayari, ajue tu ana majukumu kwa wanae. Unaona mwanaume hana mpango na wewe, afu still upo unajikalia tu apeche alolo mmh
Kujisogeza uwe na bahati jamaa awe ndio anakupenda na hajiwezi bila wewe.
 
Hadaiwi mtu hapo, kosa lake lilikuwa kumuamini mwanaume moja kwa moja, mwanaume ana rangi nyingi sana, yupo kama majira mara kiangazi mara vuli mara masika mara kipupwe. ndoa ni muhimu sana ila watu hawajui tu, kwanza ndoa humfunga mtu kifikra na kihisia ila hapo alipo huyo jamaa yuko huru kwa kila kitu kwa namna yake, ye anaona hana deni lolote labda kutimiza mahitaji kwa watoto ila hafikirii deni lolote kwa mwanamke wake. la muhimu huyo dada kupambana kwa namna yake asiwe tegemezi kama ni kusoma au kijiendeleza kiuchumi hii itamfanya huyo dada aongeze kujiamini na kufuta mawazo ya kuwa na mwanaume kama huyo. akijiweka katika hali hii atapiga hatua kimaisha na si ajabu baada ya muda akafatwa na huyo mwanaume wake kwa hiyari yake mana atahisi kuna kitu amepungukiwa licha ya kujitosheleza kwa vitu vingi kimahitaji.
 
Kinacho mfanya bibie asitoke pale ni kuwa licha ya kumpenda jamaa pia ile life style inamchengua, mwenyewe kama yeye hajiwezi.
 
Kujisogeza uwe na bahati jamaa awe ndio anakupenda na hajiwezi bila wewe.
Sasa ambaye anakupenda, hajiwezi bila wewe si ndo atafanya fasta kukuoa ili awe nawe muda wote., au? Ingawa kweli wengine kujihamishia kwa wanaume imewasaidia

Afu huwa tunahisi tu ooh bila mtu fulani siwezi kuishi, mbona ukiachwa unaishi vizuri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom