Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Ushajijua mama wa nyumbani huna mbele wala nyuma, kazi huna,elimu huna, biashara huna,ila mwanaume unae kaa mlambe miguu mana utafanya nini sasa....
Wenye elimu,kazi na biashara zao mkizinguana usiku nyumbani asubuhi kila mtu anatoka kwenda kuchakarika mkirudi stress zimepungua siku zinaendelea, wanawake jmn tusiwe mama wa nyumbani full tym,Uwe na kitu chako unafanya na wewe
jamaa alikuwa anampa matumizi yote..anamvalisha vizuri sana..nywele anasuka mitindo ya gharama mno ukimwangalia huwezi kuamini kama ni mama wa nyumbani!..basi tu wanasema kwny miti hapana wajenzi
 
jamaa alikuwa anampa matumizi yote..anamvalisha vizuri sana..nywele anasuka mitindo ya gharama mno ukimwangalia huwezi kuamini kama ni mama wa nyumbani!..basi tu wanasema kwny miti hapana wajenzi
Paka mapepe. Roho za umasikini zinamuandama. Anapenda sana kujishow , mambo Safi, ili watu wamsifie. Bwana yake hapendi kabisa tabia za kujionesha kuwa anazo. Hata akiwa na pesa huwezi kumdhania. Ni mpole sana kaka wa watu.

Ukali wake unasababishwa na huyo mwanamke. Anamuudhi sana.
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.
Hujakosea mamii,wewe umetenda wema kwa kumshauri kile ambacho hata wewe ungefanya,kwa hiyo jitulize kama kasuku na wala usikonde mamishuu.
 
Mwambie arudi tu hapo alee wanae . mambo ya ndoa kama yapo yatakuja tu polepole aiskazimishe... Wanaume wenyewe ukiwaonyesha unashida ya ndoa watakunyanyasa mpaka ukome .. Muhimu muonyeshe unashida na pesa zake basi ajiongeze si kujpa stress za ndoa.. Halafu kuzalishwa haina maana lazima uolewe jamani .. Hawa viumbe hawa waonage wakiwa wamevaa nguo tu basi
Mama Temba naomba unifafanulie uliposema hawa viumbe waonage wakiwa wamevaa nguo,ingawa siku hizi umetupa jongoo na mti wake.
 
Kuna rafiki yangu nae anapenda sana kuniomba ushauri wa mambo kama haya, namkwepa sababu sitaki lawama kama hizi.
 
Mnaishi na mwenzako, msome vizuri huyo mtu wako yukoje. Kama unataka kuondoka ondoka kweli, lakini kutishia unaondoka teh sio kwa hawa wanaume wa mwendokasi. Utarudi mwenyewe bila kuitwa, tena kwa aibu kijuso kidogooo, afu unamkuta mwenzio hana hata habari

Mwambie shoga ako arudi alee watoto wake, ndo ashalikoroga hivyo. Kingine kama ataamua kurudi shule au kutafuta kazi/biashara itakuwa kheri zaidi. Achakarike tu na maisha yake na wanawe, me sioni dalili ya ndoa hapo kwa sasa hivi honestly.
Ushauru murua.
 
Anatamani sana kuongeza watoto lakini watapatikana vipi jamaa hamgusi kabisa sasa hivi, matatizo yalianza tangu mwaka jana miezi kama September/October. January yalimshinda ndio alianza kunihadithia, nilimuonea huruma sana, nikamwambia anakuchukulia for granted.
Hapana sio for granted,wanaume kuna wakati tunapitia rough patch na hisia zinakuwa dull.
 
Yani wanawake wakati mwingine ni wagumu kuelewa mwee, sijui nani kashika ufahamu wetu. Mwanaume akitaka kukuoa atakuoa tu effortlessly. Kujibebesha mimba sio guarantee ya kuolewa, unless atake kukuoa yeye mwenyewe. Unahamishia zubeda lako kwa mwanaume but yupo kimya (na kwa nini uhamie kwa mwanaume bila kufuata taratibu zote), unazaa mtoto wa kwanza kimyaaa, lakini hustuki tu unaongeza na wapili juu, tumlaumu mwanaume au ujinga wako mwenyewe?. Huwa tunaignore red flags nyingi tu, afu baadaye tunaanza kuplay victims. Ndoa hailazimishwi jamani, otherwise utakachokikuta huko ndani, utacheka kitalebani

Yani hawa wanaume wa siku hizi hata akikutolea mahari, usijiaminishe kuwa eti ndo ndoa tayari, ukajibebesha mimba kwa kutaka au akakushawishi. Utaachwa kwenye mataa na mahari yako na mimba yako. Una haraka sana ya kuzaa, subiri siku ya honeymoon ufanye yako.
Daah hivi kwenye fugate network inasoma zaidi?
 
Lemme tell you one thing, Mwanaume atakutreat the way wewe mwenyewe unavyomruhusu akutreat. Mtu hawezi akakutake for granted kama wewe mwenyewe hubariki hiyo hali. Mtu hakujali afu at the same time Unawaza kuongeza watoto wengine, jamaniiiii!!!!! Kwa nini asibaki nao hao wawili, akawalea vizuri, baba mwenyewe ndo huyo unaona kabisa hana habari na wewe. Watoto wawili wameshindwa kuwaunganisha, ndo huyo wa tatu au nne atawaunganisha? Hata kama mapenzi hayana busara, lakini huyo shosti kazidi. Anaacha kukocentrate na maisha yake na wanawe, ana kazi ya kumuwaza mwanaume asiye na habari naye pyeee
Jamani labda hujaelewa kwamba na yeye ana hisia au kiu ya majamboz,na hii hupelekea akili kudata na kufanya mwanamke asijielewe mpaka kiu imtoke ndio ataweza kufikiri katika kwa herufi kubwa,mapenzi kizunguzungu.
 
Ungekaa naye vizuri akueleze matatizo yake kwa kina ndipo umpe ushauri. Wajuaje kama shoga yako ndio mwenye matatizo?
 
Mwambie arudi tu hapo alee wanae . mambo ya ndoa kama yapo yatakuja tu polepole aiskazimishe... Wanaume wenyewe ukiwaonyesha unashida ya ndoa watakunyanyasa mpaka ukome .. Muhimu muonyeshe unashida na pesa zake basi ajiongeze si kujpa stress za ndoa.. Halafu kuzalishwa haina maana lazima uolewe jamani .. Hawa viumbe hawa waonage wakiwa wamevaa nguo tu basi
yan awa viumbe ni wanyama
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.
ni kweli yeye ndo mwenye shida mbona,tena awahi kurudi asije akakute mwenzie aisee
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.

Si ana shida kweli, unaachaje watoto nyuma? Mwanamke? Ujinga
 
Kitu kingine kinamuuma ni aibu aliyomwingiza baba yake, yani jamaa ameonyesha dharau kwa baba. Nimeongea nae anasema baba pia hamshauri kurudi kwa mwanaume mwenye dharau hizo.
Asirudi, aanze maisha mapya.

Kudharauliwa ukoo mzima na mtu mmoja ni matusi makubwa sana
 
Hana jinsi hali yake ni tete, pamoja na kunilaumu lakini anajua nilikuwa na nia njema na pia sasa hivi inabidi tuwe karibu kwakua hakuna tena change kutoka kwa baba watoto.

Auze gari aanzishe biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom