Baba Ngina...28 September 2012

Baba Ngina...28 September 2012

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,940
28[SUP]th[/SUP] September 2012 ….Ijumaa

Ni siku niliyokutana na mtu maarufu sana katika jukwaa hili pendwa la MMU – Jamiiforums. Sikufahamu umuhimu wa siku hiyo kwani nilienda pale kwa mualiko wa dada yangu gfsonwin. Nakumbuka sana kina cacico, Asprin, Madame B, amu, Jiwe Linaloishi, Nicas Mtei, Paloma, Kaizer walikuwepo.

Watu walikuwa na nyuso za furaha na kuchangamka. Baadaye nilikuja kugundua sio wao bali ni effect ya Contessa gin, strawberry lips na govinder kumar.

It was a Friday, a perfect excuse to hang out.


View attachment 114127


Mdau huyu naye kwa kutumia kisingizio hicho akaaga kwa mkewe kuwa atakuwa na marafiki zake kwa muda tu then atarudi nyumbani kujumuika na familia yake. Yaliyotokea ni mengi kuyaelezea. Mama Ngina karibu aue mtu baada ya mumewe kurudi nyumbani na shati lililochafuka lipstick.

It was a perfect excuse…it was his BIRTHDAY! (Ingawa inasemekana ukweli wa mambo anaufahamu Paloma)

Na leo ni mwaka mmoja umepita tangu siku ile...nikutakie tena heri na fanaka katika mwaka huu mwingine uliiongezewa kuishi.

HAPPY BIRTHDAY KAKA Mtambuzi

HAPPY BIRTHDAY TO YOU




images.jpg

Enjoy the day…make love, drink to it and have a blast this day..aaaaaaaaand it’s on a weekend! Mama Ngina lake kufua shati kesho.

index.jpg


Lots of love,
Mentor.
 

Attachments

  • images b.jpg
    images b.jpg
    11.2 KB · Views: 808
Last edited by a moderator:
HAPPY BIRTHDAY MTAMBUZI, HONGERA SANA KWA KUFIKISHA MIAKA 99, naamini KUJITAMBUA kwa MTAMBUZI kunatokana na KUTAMBUA kwamba Busara zako ZINATAMBULIKA,

HAYA SASA, Ukuje huku fasta, madrinks yanakusubir.

Mentor, Cake nani analeta vile!
 
Hepi bethidei mkuu! I wish siku hii ingegongana na pale ulipokuwepo usiku siku ya saba ya mwezi! I wish you longer and joyful life! Thenk yuu!
 
HB Mtambuzi , Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi....yenye furaha, amani na upendo!! BTW: shkamoo ankali wangu kipenzi Mentor , mic u mingi!!!
 
Last edited by a moderator:
Nionesheni kwanza ndyofu zangu kabla sijasema lolote.. BTW Happy birthday mkuu... Keep on using that rubber sheath (Ha ha haaa, hapa usinipige ngumi) Be blessed with a long life .. Pamoja
 
uwakilishaji mzuri mentor,,,,,,,

Happy b'day mkubwa,,,,,,,,,,,,

ila kwa hayo yaliyotokea mwaka jana ,mbona mtafanya wenzi wetu humu wasikubali tujumuike na member humu,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom