Baba Ngina...28 September 2012

Baba Ngina...28 September 2012

happy b'day dingi, halafu ww Mtambuzi ndo umeandika makala kwenye gazeti la raia mwema?
 
Last edited by a moderator:
natumaini siku yako ilikuwa njema sana!
hongera kwa kusogelea umri wa hekima na burasa!

happy birthday Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wako Mwanyasi anaendeleaje!? Nitafute basi kipindi hichi ambacho bado hajapona vizuri!!?

Shemeji kula wee, kaka yako hayupo!!! Filipo mwache dear wangu apumzike, ujue alipata mshituko nilivopatwa na janga.
 
Last edited by a moderator:
hebu mchunguze Ladyfurahia ni yupi kati ya hawa GISERE nitumie nataka kuona ladyf.jpg
Ndio hivyo tena lakini Gisele alishanifanyia Birthday kitamboo.......
 
Matambuzi hongera uzee huooo......kaka japo nilipitiwa lakini itabidi tuonane faragha
 
. . . . . . . Better late than never. Happy Birthday Mtambuzi. Shikamoo sana!
 
Last edited by a moderator:
Kufumba na kufumbua rekebisha jina la Mtambuzi kwani haitwi kama ulivyomuita. Fasta mtake radhi.

Baada ya hayo, mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mtambuzi...... kumbe mimi na wewe tulikuja duniani tarehe moja japo kwa miaka tofauti....... happy day to u n me!
Happy birthday to you Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mtambuzi...... kumbe mimi na wewe tulikuja duniani tarehe moja japo kwa miaka tofauti....... happy day to u n me!
Andaeni party tukuje..
 
Back
Top Bottom