Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
- Thread starter
- #121
I mean no malice to nobody
Asante Mkuu kwa kunitag.
Pamoja mkuuAsante Mkuu kwa kunitag.
Bajeti kubwa zinahitajika kwenye vyombo vya ulinzi.Kuna kitu cha kujifunza hasa kwa Maaskari wetu wa Tanzania.
Ni kweli, lakini pia watu makini Wana hitajikaBajeti kubwa zinahitajika kwenye vyombo vya ulinzi.
Ila jamaa wapo vizuri sana kwenye hizo kazi ,sio rahisi kusikia kamata kamata za halaiki kubwa ya watu au mitaa kufungwa kusaidia uchunguzi.
John Muhhamad alinyogwaNURU YAREJEA WASHINGTON DC - 3
Umuhimu wa matumizi ya vitambulisho na kushirikisha jamii katika kupambana na Uhalifu!
Sehemu iliyopita tuliona maofisa wa uchunguzi wa kimaabara walipata alama za vidole za mtuhumiwa, lakini hawakiweza kutambua ni alama za nani. Kwenye uchunguzi wa kimahakama (Forensic investigation), alama za vidole ambazo mwenye nazo hafahamiki zinaitwa 'Finger Marks', hadi pale alama hizo zinapotambulika kuwa ni za fulani ndipo huitwa 'Finger Prints'. Kwahiyo wataalamu walipata 'Finger Marks' ambazo msaada wake ni mdogo sana.
Ili alama za vidole ziwe na msaada wa haraka inabidi kuwepo na alama za vidole za huyo muhalifu kwenye kanzi data (database) ya alama za vidole ya taifa. Kwa bahati mbaya, hakuna taifa duniani lenye kanzidata inayojumuisha hata asilimia 20 tu ya raia wote. Hata Marekani wenyewe hawajafikia hiyo asilimia 20.
Maana yake ni kwamba hata kama muhalifu akiacha alama za vidole, hawezi kupatikana kwa kutumia alama hizo ikiwa alama zake hazikuwahi kuwepo kwenye kanzidata, ila anaweza kupatikana kwa njia zingine halafu atachukuliwa alama za vidole ili kulinganishwa na zile zilizopatikana awali – kuhakiki kama ni yeye au la.
Tuendelee...
Bila kuchoka, polisi waliendelea kumtafuta muuaji. Sasa kila mbinu inayowezekana ilipaswa kutumika. Kule Montgomery, eneo la shule aliposhambuliwa mtoto Aron kulipatikana ganda la risasi, kizibo cha kalamu na karata yenye ujumbe. Mamlaka za kaunti ya Montgomery hazikuwa zimechunguza alama za vidole kwenye ganda la risasi iliyodhaniwa kumshambulia Aron kule shuleni kwa sababu ganda hilo lilikuwa kwa wataalamu wengine wa vilipuzi waliotaka kuchunguza aina ya silaha inayotumiwa na muuaji.
Kizibo cha kalamu na ile karata yenye ujumbe havikuwa na alama za vidole, vipi kuhusu ganda la risasi?
Kama bahati, alama za vidole zilipatikana kwenye ganda la risasi iliyomshambulia Aron. Na sasa alama hizo zilikuwa tofauti na alama zilizokutwa kwenye shambulizi la Jeff kwenye mgahawa wa Ponderosa.
Muhimu zaidi, alama hizi za sasa zilikuwapo kwenye kanzidata ya taifa – mwenye nazo aliitwacLee Boyd Malvo – kijana wa miaka 17, muhamiaji kutoka Jamaica. Kijana huyo alichukuliwa alama za vidole katika kituo cha Bellingham, jimboni Washington. Hili ni jimbo tofauti na lipo mbali na jimbo la Washington DC; Kwahiyo, kuna jimbo la Washington na Washington DC ambalo ndio makao makuu ya serikali ya Marekani.
Picha ya kijana Malvo ilipatikana papo hapo kwenye kanzidata, lakini haikuwekwa hadharani.
Polisi waliamini kwamba kijana huyo hakuwa peke yake, bali alikuwa na mtu mwingine ambaye alama zake zilipatikana kwenye ganda la risasi la mgahawani Ponderosa, ambazo hazikuwapo kwenye kanzidata ya taifa. Upelelezi ulikuwa unaanza kuleta matokeo. Lakini muuaji hakupoa.
Oktoba 22 ilikuwa zamu ya Conrad Johnson, dereva wa basi aliyeuawa katikati ya mji wa kaunti ya Montgomery. Katika eneo la tukio, ujumbe mpya ulitundikwa kwenye mti ukisema; ‘Ujinga wenu umegharimu maisha ya mtu mwingine’. Muuaji aliwaona polisi wajinga kwa kushindwa kumpatia fungu aliloomba la dola milioni 10 ili aache kuua watu. Na sasa alituma ujumbe ili kuwachefua zaidi. Hakujua, siku zake zipo ukingoni. Polisi walifanya siri kubwa juu ya taarifa za alama za vidole za kijana Lee Boyd Malvo ili zisivuje. Muuaji akijua kama alama za vidole zimepatikana anaweza kujificha na kufanya uchunguzi uwe mgumu zaidi, au anaweza kuamua kuua watu wengi zaidi akijua siku zake zinakaribia.
Zaidi ya kuwa muhamiaji kutoka Jamaica, huyu kijana Lee Boyd Malvo ni nani?
Kijana huyu alizaliwa Jamaica na baadaye alihamia Marekani akiwa chini ya ulezi wa mama yake aliyeitwa Midred. Mama huyo alisaidiwa kuingia Marekani na mwanaume wake aliyeitwa John Muhammad. Ndio kusema John Muhammad alikuwa mume wa Midred na pia baba mlezi wa Lee Boyd Malvo.
Mtu aliyeitwa Robert Holmes kutoka New Jersey alipiga simu kwenye namba maalum iliyotolewa na polisi lakini simu yake haikupokelewa. Rober Holmes alikuwa na ujumbe muhimu kuhusu sauti ya mtu aliyezungumza kwa simu na polisi kwenye mgahawa wa Ponderosa akitaka fedha kiasi cha dola milioni 10. Ilikuwa sauti ya kijana Lee Boyd Malvo. Lakini Robert Holmes hakusita kujaribu kupiga simu tena na tena na hatimaye, baada ya siku tano ndipo polisi walipokea simu yake. Robert aliwaeleza polisi ya kuwa anaamini sauti ya mtu aliyezungumza na polisi ni sauti ya kijana Lee Boyd Malvo ambaye anaishi na John Muhammad.
Robert aliifahamu vema familia hii. Yeye na John Muhammad walikuwa marafiki wakubwa tangu walipokuwa jeshini na anajua masaibu yanayomsibu rafiki yake sasa. Robert aliwaambia polisi kuwa John Muhammad alishaachana na mkewe Midred, na baada ya kuachana alianza kumtishia kumuua. Midred alikimbia vitisho vya John, akabeba watoto wake wadogo na kwenda kuishi Washington DC. John Muhammad naye alimfuata Midred huko Washington DC. Kwakuwa John Muhammad na mwanaye wa kambo Lee Boyd Malvo walipatana sana, si ajabu John na Malvo ndiyo wanaofanya huo ujambazi.
Robert Holmes alimwagika zaidi, akawaambia polisi anajua kuhusu tabia ya John na Malvo ya kujifunza shabaha kwa bunduki tangu walipokuwa wakiishi huko Florida.
Taarifa hizo zilikuwa msaada mkubwa kwa maofisa wa polisi na sasa walikuwa na matumaini ya kumkamata muuaji wa Washington DC. Polisi walifuatilia mara moja taarifa za John Muhammad kwenye mfumo wa usajili wa magari, wakagundua anamiliki gari aina ya Chevy (Chevrolet) Caprice yenye rangi ya blue na namba za usajili za New Jersey – NJ 08104.
Hapa kunaonekana umuhimu wa kuwa na nyaraka za vitambulisho zenye taarifa za kutosha za mtu. Vitambulisho vya uraia, vya kupiga kura, leseni za udereva na hati za umiliki wa mali na hati za kusafiria zinapaswa kuwekwa kwenye mfumo mmoja wa mawasiliano. Haina maana kuwa mtu awe na kitambulisho kimoja, hapana, bali nyaraka zote hizo zifanane na taarifa zake ziweze kupatikana kwenye mfumo mmoja. Kwa mfano, mtu mmoja anayeitwa John Muhammad, taarifa zake zote zifanane kwenye vitambulisho na hati zote ili iwe rahisi kumpata anapohitajika.
Kufikia hapo maofisa wa polisi hawakuona tena haja ya kuficha kitu. Taarifa za gari hiyo ziliwekwa hadharani na picha za John Muhammad pamoja na Lee Boyd Malvo pia ziliwekwa hadharani ili mtu yeyote, atakayewaona au atakayeona gari hiyo popote atoe taarifa kwa jeshi la polisi.
Wakati huo kikosi maalum cha makomandoo wa SWAT kilikuwa kikijiandaa na mapambano ya kurushiana risasi na muuaji endapo watapewa taarifa za mahali alipoonekana.
Oktoba 24, shuhuda mmoja aliyeitwa Whitney alitoa taarifa juu ya gari ndogo aina ya Chevrolet Caprice, rangi ya blue yenye namba NJ 08104. Whitney alimiliki gari ya aina hiyohiyo, kwahiyo ilikuwa rahisi kuitambua. John Muhammad na Lee Malvo hawakujisumbua kurusha risasi tena walipogundua hawana pa kukimbilia. Kitendo cha polisi kuwatangaza hadharani kwa sura na gari yao kiliwamaliza nguvu wakawa kama wamepigwa sindano ya ganzi. Hawakuwa na cha kufanya, walisubiri tuli humo kwenye gari wakisubiri kukamatwa na kufunguliwa mashitaka. Wangejaribu kujibizana kwa risasi na kikosi cha SWAT wasingeweza.
Siku saba zilipita bila watuhumiwa kuzungumza chochote. Hatimaye Malvo akafunguka. ‘John ni rafiki yangu, pia ni baba yangu. Kila anachofanya na mimi nafanya’ – alisema Lee Malvo. Akaendelea, ‘nilikuwa nafunga kula chakula kabla ya kuua mtu, kwani hilo lilinisaidia kuongeza shabaha’.
Lee Malvo alitoa taarifa za kila mauaji waliyofanya, walipokosea na walipopatia. Alitoa taarifa za mauaji mengine waliofanya miji mingine kabla ya kuhamia Washington DC. Akasema walikuwa wakijifunza pamoja namna ya kulenga shabaha huko Florida. Walitumia gari yao ndogo kwa namna ya pekee ili wasipatikane kirahisi, walitoboa tundu dogo upande wa nyuma ya gari mahali panapokaa namba za usajili, halafu wakaondoa siti za nyuma ili kuwepo nafasi ya kutosha ya kujilaza wakati wa kulenga mtu. Wakati Lee Malvo akilenga shabaha kupitia tundu hilo, John Muhammad alikuwa kwenye usukani. Ilikuwa ni vigumu kugundua kuwa risasi imetoka nyuma ya gari kupitia tundu dogo lisiloonekana sawasawa.
Mwaka 2004, John Muhammad alihukumiwa kifo wakati Lee Malvo alihukumiwa kifungo cha maisha. John alikata rufaa, na miaka miwili baadaye alibadilishiwa kifungo na kuhukumiwa maisha bila msamaha.
Mwisho!
View attachment 2910874
Muhammad was executed by lethal injection on November 10, 2009, at 9:06 p.m. EST at the Greensville Correctional Center near Jarratt, Virginia, and was pronounced dead at 9:11 p.m. EST.[4] Muhammad declined to make a final statement.[5]NURU YAREJEA WASHINGTON DC - 3

Thanks mkuu, ngoja ni update.Muhammad was executed by lethal injection on November 10, 2009, at 9:06 p.m. EST at the Greensville Correctional Center near Jarratt, Virginia, and was pronounced dead at 9:11 p.m. EST.[4] Muhammad declined to make a final statement.[5]View attachment 2911248
Halafu mkuu ile ni hukumu, hapo ulipo weka ndo matekelezo ThebrokerMuhammad was executed by lethal injection on November 10, 2009, at 9:06 p.m. EST at the Greensville Correctional Center near Jarratt, Virginia, and was pronounced dead at 9:11 p.m. EST.[4] Muhammad declined to make a final statement.[5]View attachment 2911248
Muhammad was executed by lethal injection on November 10, 2009, at 9:06 p.m. EST at the Greensville Correctional Center near Jarratt, Virginia, and was pronounced dead at 9:11 p.m. EST.[4] Muhammad declined to make a final statement.[5]View attachment 2911248
Wapi palipo andikwa hivyo??John Muhhamad alinyogwa
Attention seeker huku tunatumia majina bandiaAchana nae, huyo ni attention seeker tu.
Ujuaji yaani uchukue story uibadilishe kwa kiswahili alafu uchukue credit maisha sio marahisi hivyoJamaa una ujuaji wa kijinga, kwani hao IDX ndio wenye hizo documentaries peke yao??
Hakuna walioandika? Bila shaka jamaa kuna mahali kazitoa hizi habari, lakini kumlazimisha atoe credit kwa watu asiowajua ni kumkosea.
Waandishi kama hawa hawatoi kwenye chanzo kimoja maana huko ughaibuni kuna conspiracy theories nyingi kwa tukio moja tu, so kuandika kisa kama hiki kwa mtiririko huu bila shaka chanzo sio kimoja.
Mimi nilikuwa New York City, ila nilikuwa nawasiliana sana na wabongo wa Washington DC.kumbe ulikuwepo katika jiji Hilo, wakati haya yaki tokea.
Sema ulimpa ushauri was kishujaa, maana hiyo ni zaidi ya 50/50 kuishi au kuenda mbele.
Mana hamjui muuaji ana zingatia kipi au sampuli ya Aina ipi.
Mwamba nilimwambia id wanaonyeshaga hizo kawa mbogoNilipata kuiona documentary yake mwaka 2018
Discovery ID
Asante mkuu
Kuna Movie ake inaitwa SNIPER 23 kama sijakosea sana.Mwamba nilimwambia id wanaonyeshaga hizo kawa mbogo