Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

Ujuaji yaani uchukue story uibadilishe kwa kiswahili alafu uchukue credit maisha sio marahisi hivyo
Nchi hii ni ngumu watu kuvumbua vitu kama wanaakili kama zako
Mzee hamna asiejua jamaa kacopy mahali, ila wewe kulazimisha aandike kacopy kwa fulani ndo tatizo hilo, chanzo cha habari sio hicho pekee.

Kipi kilivumbuliwa akili kama zangu zikawa kikwazo??
 
Mzee hamna asiejua jamaa kacopy mahali, ila wewe kulazimisha aandike kacopy kwa fulani ndo tatizo hilo, chanzo cha habari sio hicho pekee.

Kipi kilivumbuliwa akili kama zangu zikawa kikwazo??
Analazimisha credit ndo sababu ya mimi ku-argue na yeye
Unatakaje sifa kwa ku-translate
 
Analazimisha credit ndo sababu ya mimi ku-argue na yeye
Unatakaje sifa kwa ku-translate
Kwani jamaa wapi kataka sifa??
Mbona kwenye comments kakiri kaitoa mahali kwenye magroup yao huko.
Mkuu sio kila anaeleta kitu hapa jf basi anakijua kiundani, wengine wanatoa fb, X, insta na kupaste hapa bila kujua mwandishi halisi.

Kama unamjua basi msaidie lakini sio na wewe kuja kumshukia kama mwewe.
 
Nenda fb muone Dr Chris Cyliro

Zote ulizopost ulisubiri amalize kuandika na wewe unaleta

Tangu ya kupotea kwenye kisiwa na sasa kaanza kusimulia nyingne.
Mkuu mi haya nihusu hayo, am just playing my part kutoa taarifa tu.
 
Back
Top Bottom