Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
- Thread starter
- #101
Kwa wenzetu Zina muda wake, ila Huku kwetu labda zivujishwe.Hahahahaha...kwani confidential si zina muda wake ? Najua huo ugumu ila mie huwa napenda kuwaza hata yale magumu kuwa yanawezekana ni vile tuna kasumba fulani hivi
Mpwa alewe amwambie mjomba, mjomba nae ahadithie kijiweni.