Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

Mimi nilikuwa New York City, ila nilikuwa nawasiliana sana na wabongo wa Washington DC.

Ilikuwa wakitoka nje tu wanaona wanaweza kupigwa risasi muda wowote.
Sema Cha kumshukuru Jamaa ali shikwa.
Sema adhabu wanazo pewa ni nyepesi.

Huwezi ha watu 10, Kisha upigwe sunu au unyongwe Mara 1 tu.
Ina faa una katwa kidogo kidogo, mpaka uone what it feels to be killed.
 
Kuna Jaji mmoja alimhukumu mtu mmoja hukumu mbili za kufungwa maisha kwa kuua watu wawili.

Nikajiuliza.

Sasa, hizo hukumu mbili za kufungwa maisha atazimalizaje? Ina maana akifa bado anatakiwa atumikie kifungo kingine cha maisha?

Au hukumu mbili za kufungwa maisha zinaenda pamoja?

Kama zinaenda pamoja, kuna tofauti gani kati ya hukumu moja na mbili hapo?
 
Hahaha, huyo kweli alikuwa ana hasira aisee.
Ina bidi una wakata mikono, next time miguu Ina fata.
 
Huyo buyobe anaecopy story za jf halafu anawalipisha watu huko X.

Kwani huyu jamaa hii story kaitoa wapi?? Ni kuitranslate tu toka kinge kuja kibongo na huenda ndizo Buyobe anazowateka nazo huko X lakini ndo ivo uthubutu wa kujenga brand ndo watu hawana.
Ka copy fb kwa dr Chriss Cyliro

Ndiyo mwandishi wa hizi makala,hata story iliyopita mwandishi ni yuleyule

Huyu wa humu jf yeye anabeba kama ilivyo analeta huku na kujidai ni yeye!!
 
Ka copy fb kwa dr Chriss Cyliro

Ndiyo mwandishi wa hizi makala,hata story iliyopita mwandishi ni yuleyule

Huyu wa humu jf yeye anabeba kama ilivyo analeta huku na kujidai ni yeye!!
Mkuu hii story tume Soma kwenye group letu, sasa hata huyo mtu simjui aisee.
 
Watanzania tuache kupenda short cut kwenye maisha
Huwezi enda copy crime documentary kutoka IDx (investigation discovery) alafu unataka watu wakupe credit kwa kucopy

Hii ni mara ya pili nakuona unataka kuchukua point kwa kucopy crime documentary kutoka investigation discovery bila kuwapa credit
Acha roho mbaya wewe hiyo credit inasaidia nini?
 
Watanzania tuache kupenda short cut kwenye maisha
Huwezi enda copy crime documentary kutoka IDx (investigation discovery) alafu unataka watu wakupe credit kwa kucopy

Hii ni mara ya pili nakuona unataka kuchukua point kwa kucopy crime documentary kutoka investigation discovery bila kuwapa credit
Mkuu
Kwani wewe unapata athari gani akikopi huko akaleta hapa?

Kila kitu hapa duniani ni copy and paste, kwa maana kilishafanywa na wengine way back then sasa hivi vinaboreshwa tu. Hata JF ni copy and paste ya mitandao mingine ya kijamii iliyokuwepo tayari.

Hakuna ubaya kukopi chochote. Labda angesema ametunga au ni tukio alilofanya yeye hapo ungekuwa sahihi kumkosoa.
 
Mkuu unaweza nipatia username ya uyo mtu wa X boss kama itakupendeza
 
Back
Top Bottom