Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,549
- 97,101
- Thread starter
- #21
City Of Lies chuma tayari hicho
All rightVery interesting
Unaenda kucopy kule kwa investigation discovery (IDx) alafu unaleta huku bila kuwapa credit maisha sio marahisi hivyo alafu unajifanya huwajuiNdo kina nani??,
I swear mkuu, hao investigation discovery siwa jui mzeeWatanzania tuache kupenda short cut kwenye maisha
Huwezi enda copy crime documentary kutoka IDx (investigation discovery) alafu unataka watu wakupe credit kwa kucopy
Hii ni mara ya pili nakuona unataka kuchukua point kwa kucopy crime documentary kutoka investigation discovery bila kuwapa credit
Dah we jamaa una matatizo aisee😆🤣, hao una nitajia ndo Mara ya kwanza kuwa sikia.Unaenda kucopy kule kwa investigation discovery (IDx) alafu unaleta huku bila kuwapa credit maisha sio marahisi hivyo alafu unajifanya huwajui
Hio channel azam na dstv ipo tokea zamani sana na inaonyesha crime documentaryDah we jamaa una matatizo aisee😆🤣, hao una nitajia ndo Mara ya kwanza kuwa sikia.
😂😂 Unaijua michoro ya Zena na Betina??Sim tank wewe ×2
Yaani jomba una kuja ku argue kuhusu kipindi Cha kwenye TV.Hio channel azam na dstv ipo tokea zamani sana na inaonyesha crime documentary
Wewe una-act kama huijui ila hizo documentary unazichukulia kule bila kuwapa credit sio ustaarabu
Yaani unataka upewe sifa kwa kucopy kaka maisha sio marahisi hivyo, changamoto ya waafrika tunapenda sana short cut
Acknowledge nimecopy kutoka IDx hutapungukiwa na kitu
Dah acha basi 🤣😆, tulia kiboko wee.😂😂 Unaijua michoro ya Zena na Betina??
Hahahahaha. Sawa sawaMkubwa Tresor Mandala tume Rudi chimboni.
Halafu hao idx si Wana onyesha kipindi Cha tv, mi nime andika.Hio channel azam na dstv ipo tokea zamani sana na inaonyesha crime documentary
Wewe una-act kama huijui ila hizo documentary unazichukulia kule bila kuwapa credit sio ustaarabu
Yaani unataka upewe sifa kwa kucopy kaka maisha sio marahisi hivyo, changamoto ya waafrika tunapenda sana short cut
Acknowledge nimecopy kutoka IDx hutapungukiwa na kitu
Acha kukocopy alafu utake watu wakusifieHalafu hao idx si Wana onyesha kipindi Cha tv, mi nime andika.
👉Kama una hisi ni rahisi, andika pia imbecile wee.
Ausiyo?Kumbe unge??, Na sio uta shukuru.
👉Acha niishie hapo, sema acha uvivu brother- maana vitabu vya Rowland usinge viweza🤒
Mkuu naona kama ume pagawa, na ume wehuka so una vagaa watu.Acha kukocopy alafu utake watu wakusifie
Ulisema huwajui mara sahivi umekubali wanaonyesha kipindi cha tv na ulisema huwajui
IDx wana crime documentary za mpaka 1880's unachofanya ni kucopy na kupasteMkuu naona kama ume pagawa, na ume wehuka so una vagaa watu.
👉Hi iwe funzo kwa watu wenye takatakaa kichwani ka wewe.
Hapa nili sema na Tresor Mandala kuhusu watu kuangalia taarifa Kama hizi, so ume angalia nilipo andika, now una jikuta mjuaji..
Mwishoni angalia na wewe, Kisha uandike bogus mkubwa.
View attachment 2910915
Mkuu naona kama ume pagawa, na ume wehuka so una vagaa watu.
👉Hi iwe funzo kwa watu wenye takatakaa kichwani ka wewe.
Hapa nili sema na Tresor Mandala, mcTobby, kuhusu watu kuangalia taarifa Kama hizi, so ume angalia nilipo andika, now una jikuta mjuaji..
Mwishoni angalia na wewe, Kisha uandike bogus mkubwa.
View attachment 2910915
comment ya chini ulisema huwajui investigation discoveryI swear mkuu, hao investigation discovery siwa jui mzee
Kwa hiyo Umebadilisha gia tena siulisemi haucopy sehemu yeyote