Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Nani amekwambia kuwa wote wanaoenda ukweni ni ndugu asilimia mia, unaweza chukua ndugu jamaa na marafiki plus ndugu zako mambo yanaenda kiivyo
Hao wadada uliokodi ndo wamesbabisha ukatozwa adi gharama ya vyakula....ungechukua watu wazima ndugu zako isingekuwa ivo, afu una bahati, kwetu uniletei watu wa kukodi aiseee
 
Nani amekwambia kuwa wote wanaoenda ukweni ni ndugu asilimia mia, unaweza chukua ndugu jamaa na marafiki plus ndugu zako mambo yanaenda kiivyo
Vile tunatofautiana, jamii yangu suala la kupangiwa mahari uwa wanatakiwa wazazi/walezi....baba, mama, mjomba, shangazi, ba mdogo,mkubwa.....
 
Vile tunatofautiana, jamii yangu suala la kupangiwa mahari uwa wanatakiwa wazazi/walezi....baba, mama, mjomba, shangazi, ba mdogo,mkubwa.....
Ok nimekusoma lakini sio sawa kumpangia mkweo mahali Kubwa kiasi kile kwa maana kuoana ni kuunga udugu baina ya pande mbili
 
Lengo la huu uzi ni kuwachafua wachaga kuonyesha hawaoleki.
Kaoe kwenu kwa mahari ya kuku hao std 2 hata lasaba hawamalizi. Butu ile mbaya.

Huwezi chukua kichwa huku unalalamika.

Eti umemtia mimba.
Hakika wewe ni .
Mimba inatolewa. Damu ya kijinga kama yako inachafua ukoo.
Elimu inahusika vipi kwenye mapenzi?
 
Mahari ya milioni 5? Uchagani sehemu gani? Kwanza sisi wachaga tunaamini mahari haishii utalipa mpaka uzeeni.

Labda mshenga wako hakuelewa utaratibu kuna vitu vya muhimu vya kulipa katika mahari ya awali havizidi laki 8.

Vinavyobaki kama mifugo utalipa unavyojisikia mpaka uzeeni.
ndugu kwani uchagani na LOAN BOARD kuna tofauti? kwanini hadi udaiwe? hivi mkifanya heshima tu mnaumia nini?
 
Haya mambo hamkuongea na mwenzio kabla?
Hajui hali yako kifedha au ulimdanganya?
 
Nenda kachumbie Zanzibar, wenyewe mahali yao ni kitanda, kabati, dressingtable, Godoro , kabat la nguo bas.
 
Kaoe makabila yenye mahari 50000 ..wachaga waachie wanaowaweza.
 
Hongera mkuu.
Mahari hutoi na mtoto wao wa mchukue bwana
Wanataka ukata wao uishie mfukoni kwako nini 5ml for what? Ana password ya kufungulia hazina Benki kuu au???
Mahari mil5 Kanyaga!!!! Wakwe matapeli Kanyaga Kanyaga!!!!!
 
kuwa makini, hiyo mimba inaweza kuamia kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom