Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Leo week ya pili nimeshindwa kabisa kupokea simu ya Baba mkwe na Mshenga wangu.

Iko hivi katika misoto yangu na kukulu kakala za maisha atimae nikajikuta nimedondokea kwa mtoto wa kichaga Kama ilivyo janga kwa wanaume wengi wa mjini.

Mipango ikapangwa na siku ya kufika ukweni kupeleka posa ikafika. Kidume nikajikoki na Mshenga wangu na wadada 3 wa kukodi tukazuka ukweni.

Mambo yalikua shwari hadi pale mjomba mtu akapewa fursa ya kutupangia package ya mahari ili mpango mzima ukamilike.... list ya makorokoro kibao, Mara mkaja wa mama, Bibi, mablanket ya Mama na mashangazi, mbege mapipa matatu, mbuzi 3 wa maziwa na....mwishoni akataja cash money 3 Mil.

Mimi kipindi anataja yale mazaga hata nilikua sifuatilia ,akili yote ilikua inasubiri point ya msingi Cash money.

Badae ikatolewa option ya ku convert the overall cost ika amount Kama 5 Mil. na ushee!

Jitihada za mshenga kupangua bei hazikuzaa matunda. Mbaya zaidi ile tumemaliza events shangazi anatuzuia hakuna kuondoka mpaka tumelipia gharama za maandalizi walioyotufanyia.

Kwa shingo upande nikausukuma mzigo wa M pesa tsh 280, 000 coz walidai laki 3.

Niliporudi lodge usiku mzima sikulala , series nzima ikawa inaji frash back repetitively.

Nika najiuliza kwani wananiuzia mke kisa ni afisa ustawi wa jamii?

Ana kipi Cha ziada ambacho wake wa ndg zangu wameolewa na jumla ya mahari tulizotoa na makokoro yote hata milioni haikufika?

Kwani ana kismat Cha mafanikio? Mbona tangu tuingie kwenye relationship mambo mengi tunakimbizana kwa had-hoc za kufa mtu?

Na mengine mengi ambayo si busara kuyaanika humu.

Alifajiri nikaamua kufanya maamuzi magumu ..."Katu sitorudi tena ukweni." Kwa maana kuwa sitoi tena mahari, mtoto wao nimeshamtia mimba ,wakimtaka waje wamchukue.

Ni hayo tu.....sirudi ukweni tena

Mashemeji zangu wachaga povu ruksa. Ila katu sirudi tena ukweni.
Gharama zote hizo mm sitoi,ukute baada ya siku chache wanawaza kukuua na kitandani ni kama gogo
 
sikia wewe kubargain inaruhusiwa wewe waambie utatoa mil 2 tu hii ni pamoja na hivyo vitu vyote na pia waambie utatanguliza 1m kwanza zingine baada ya miezi 6
 
Workmate alijaza mimba binti fulani tulipoenda kwao wazazi wake wakakomalia 5m kama fidia ya kujaza mimba na mahari, tukaondoka huku tumekula na kusaza, njiani mshkaji kakomaa mzigo mrefu hawezi, jamaa akaomba uhamisho kukwepa soo kaenda Shinyanga, binti kajifungua wazee wamezuia mtoto mposaji katokomea, baada ya mwaka binti kaomba uhamisho kwenda Geita, kumbe ilikuwa misheni kule Geita jamaa kajaza tena, mimba kufika miezi 7 kaomba likizo harudi Dar kwa uzazi,wazee kuulizia mzigo huu mpya wa nani wakaambiwa yule yule wa mwanzo wakaona isiwe tabu kaitwa kidume kalipishwa faini 500k kabebeshwa jumla vyote, wazee wakaona isiwe tabu.
 
Mahari ni kikwazo kikubwa sana siku kwa sisi vijana.

Utajiuliza kuwa baada ya mahari hakutakuwa na harusi au maisha ya ndoa?

Je hujaisaidia hiyo familia kumchukua Binti yao na kuishi naye?

Je undugu hatakuwepo kati ya kwao Binti na kwenu katika kusaidiana kimaisha?

Wazazi wanapaswa wajifunze na kujisahihisha la sivyo wataendelea kuongeza idadi za ma-single mothers kila siku.

Mleta mada uko sahihi kabisa 100%.
Wazazi wapumbavu hao, mapenz ya watu wangapi yamekufa kisa wameshindwa kuwafuraisha watu baki? Upumbavu tu huo hata mimi nisingerud kudadeki
 
Workmate alijaza mimba binti fulani tulipoenda kwao wazazi wake wakakomalia 5m kama fidia ya kujaza mimba na mahari, tukaondoka huku tumekula na kusaza, njiani mshkaji kakomaa mzigo mrefu hawezi, jamaa akaomba uhamisho kukwepa soo kaenda Shinyanga, binti kajifungua wazee wamezuia mtoto mposaji katokomea, baada ya mwaka binti kaomba uhamisho kwenda Geita, kumbe ilikuwa misheni kule Geita jamaa kajaza tena, mimba kufika miezi 7 kaomba likizo harudi Dar kwa uzazi,wazee kuulizia mzigo huu mpya wa nani wakaambiwa yule yule wa mwanzo wakaona isiwe tabu kaitwa kidume kalipishwa faini 500k kabebeshwa jumla vyote, wazee wakaona isiwe tabu.
Hatari Sana...

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Leo week ya pili nimeshindwa kabisa kupokea simu ya Baba mkwe na Mshenga wangu.

Iko hivi katika misoto yangu na kukulu kakala za maisha atimae nikajikuta nimedondokea kwa mtoto wa kichaga Kama ilivyo janga kwa wanaume wengi wa mjini.

Mipango ikapangwa na siku ya kufika ukweni kupeleka posa ikafika. Kidume nikajikoki na Mshenga wangu na wadada 3 wa kukodi tukazuka ukweni.

Mambo yalikua shwari hadi pale mjomba mtu akapewa fursa ya kutupangia package ya mahari ili mpango mzima ukamilike.... list ya makorokoro kibao, Mara mkaja wa mama, Bibi, mablanket ya Mama na mashangazi, mbege mapipa matatu, mbuzi 3 wa maziwa na....mwishoni akataja cash money 3 Mil.

Mimi kipindi anataja yale mazaga hata nilikua sifuatilia ,akili yote ilikua inasubiri point ya msingi Cash money.

Badae ikatolewa option ya ku convert the overall cost ika amount Kama 5 Mil. na ushee!

Jitihada za mshenga kupangua bei hazikuzaa matunda. Mbaya zaidi ile tumemaliza events shangazi anatuzuia hakuna kuondoka mpaka tumelipia gharama za maandalizi walioyotufanyia.

Kwa shingo upande nikausukuma mzigo wa M pesa tsh 280, 000 coz walidai laki 3.

Niliporudi lodge usiku mzima sikulala , series nzima ikawa inaji frash back repetitively.

Nika najiuliza kwani wananiuzia mke kisa ni afisa ustawi wa jamii?

Ana kipi Cha ziada ambacho wake wa ndg zangu wameolewa na jumla ya mahari tulizotoa na makokoro yote hata milioni haikufika?

Kwani ana kismat Cha mafanikio? Mbona tangu tuingie kwenye relationship mambo mengi tunakimbizana kwa had-hoc za kufa mtu?

Na mengine mengi ambayo si busara kuyaanika humu.

Alifajiri nikaamua kufanya maamuzi magumu ..."Katu sitorudi tena ukweni." Kwa maana kuwa sitoi tena mahari, mtoto wao nimeshamtia mimba ,wakimtaka waje wamchukue.

Ni hayo tu.....sirudi ukweni tena

Mashemeji zangu wachaga povu ruksa. Ila katu sirudi tena ukweni.
Tupe mrejesho mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom